Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

Na mimi pia sina intention hio bali natak kuelekezana.unataka nikuletee published articles ngapi kuonyesha siasa ni chanzo cha hayo yote? Unajua vzr issue ya watu wa msimbaz ilianzajeanzaje?
History, can you trace it from Bandung contract 1902 and its implications toward the city plan in Tanganyika?
 
Hilo jambo mpaka dunia ya kwanza wamelishindwa. Matching guy wapo ila wawekewe utaratibu maalumu tu. It's either serikali iandae model nyingine ya kutengeneza barabara na kuwawekea safe space ili kuwaondolea risk au waweke standard flani either wote wawe katika vibaskeli vinavyomove kutoka sehem kwenda sehem
Ni serikali ya kizembe na kipumbavu ndiyo hukubali kuwashindwa machinga na wafungao barabara bila sababu za msingi.
 
yes I can but it was on 1955
Utakachowez kukielezea sana hapa ni ugawaji wa maeneo ya low density to higher density area. Uwepo wa buffer mnazi mmoja linaloweka mpaka kati ya watu weusi na weupe. Makazi holela na miundo mbinu kuwa biased kwa kuzingatia maeneo na vipaumbele kwa low density area na nn tena?

Jaribu kuelezea kwanza nione
 
Ni serikali ya kizembe na kipumbavu ndiyo hukubali kuwashindwa machinga na wafungao barabara bila sababu za msingi.
Wewe unadhan wameshindwa bongo tu? Model ya urban and city plan nchi katibu zote ambazo suo western inasumbua kukubalika. Hata Ecuador, Brazil na nchi za Asia mziki wa street vendors upo tena mkubwa tu
 
Kushindwa kwa mmoja hakuidhinishi kushindwa wote.Serikali isiyokuwa na maamuzi wala mipango bora ni ya malofa tu.Hakuna utetezi.
 
Sio kushindwa Tanzania tu, dunian kote muitiko wa urban plan miongoni mwa street vendors sio mzuri. Watu wamepigwa virungu sana tu Ecuador na mpaka leo hii wapo barabaran
 
Kwa hiyo wewe umeona huko ni kushindwa?Wewe umeshindwa kabla haujaanza.
Hii model ilitakiwq iwe na uwezo wa kufanya mabadiliko yenyewe. Na udhibiti wa makazi holela na biashara zisizopangwa inabidi uangaliwe tena. Mijini hizi kesi ni nyingi sana kuliko vijijin unajua kwa nn?
 
Machinga wapo kila pahala
Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road
Hizi ni sehemu hatarishi

Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi

Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini

Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni kama inawatoa sadaka
Ipo siku gari litafeli break liwasage

Kwenye ukweli tuseme ukweli hawa machinga watolewe barabarani waende kwenye sehemu maalumu

Barabarani yanapita magari na watu n. K, Kuna msongamano usiokuwa na msingi

Serikali watoeni machinga sehemu hatarishi, hatutaki tena maafa yatokee muanze kutoa Salam za pole
Kuizuia njaa ni kazi sana, ila huwa najisemea moyoni kila siku. Hizi barabara za town zingekuwa zinajengewa Uzio(Fence) kama tu njinsi daraja la mabatini lilivyo. Machinga na watembea kwa miguu wakaachiwa space huku nyuma pasipo kugusa barabara au stand ya daladala.

Huwa naangalia hata pale Buhongwa, stand ya daladala za kuja town. Machinga wamejaa hadi daladala zinakosa eneo la kupita.
Maeneo kama haya, wangeweka uzio. Kwanza hata jiji lingependeza.
 
Hili lako nimeliongea katika comment namba 3. TatizO lililopo hawataki kuwa na model mpya ya utengenezaji wa barabara. Ikiwezekan waweke fensi ya waya na upana wa reserve iwawekee kabisa na vieneo vidogovidogo waweke bidhaa zao kufata barabara ili utaratibu ufahamike na kueleweka. Suala la kuwakimbiza na migambo kila siku halijaanza juzi wala jana
 
Sahihi kabisa mkuu!
 
Utakachowez kukielezea sana hapa ni ugawaji wa maeneo ya low density to higher density area. Uwepo wa buffer mnazi mmoja linaloweka mpaka kati ya watu weusi na weupe. Makazi holela na miundo mbinu kuwa biased kwa kuzingatia maeneo na vipaumbele kwa low density area na nn tena?

Jaribu kuelezea kwanza nione
Emu twende kwa kitu kimojakimoja unataka nielezee kuhusu makazi holela,ardhi holela au biashara holela?
 
Tunaweza kuwa sisi hatupendi wao wakae barabarani ila wao wanapenda kuchumia barabarani
 
Back
Top Bottom