Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

Machinga wapo kila pahala
Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road
Hizi ni sehemu hatarishi

Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi

Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini

Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni kama inawatoa sadaka
Ipo siku gari litafeli break liwasage

Kwenye ukweli tuseme ukweli hawa machinga watolewe barabarani waende kwenye sehemu maalumu

Barabarani yanapita magari na watu n. K, Kuna msongamano usiokuwa na msingi

Serikali watoeni machinga sehemu hatarishi, hatutaki tena maafa yatokee muanze kutoa Salam za pole

Kwa hili Samia alikuwa na vision nzuri sana lakini watendaji walimuangusha. Kwanza mafremu ni mengi sana
 
Back
Top Bottom