Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga kutoka katika mikono ya wanayanga asilia.
Msomali Hersi badala ya kukaa chini na kuona wanampoza vipi huyu mzee wao wakaamua kumfungulia kesi ya madai mzee Magoma. Mzee magoma alijitokeza hadharani tena na kusema kuwa Yanga ina slow pacha .
Msomali Hersi badala ya kukaa chini na kuona wanampoza vipi huyu mzee wao wakaamua kumfungulia kesi ya madai mzee Magoma. Mzee magoma alijitokeza hadharani tena na kusema kuwa Yanga ina slow pacha .