Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
😂Inatibika yaniEng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga kutoka katika mikono ya wanayanga asilia.
Msomali Hersi badala ya kukaa chini na kuona wanampoza vipi huyu mzee wao wakaamua kumfungulia kesi ya madai mzee Magoma. Mzee magoma alijitokeza hadharani tena na kusema kuwa Yanga ina slow pacha .
Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga kutoka katika mikono ya wanayanga asilia.😀Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga kutoka katika mikono ya wanayanga asilia.
Msomali Hersi badala ya kukaa chini na kuona wanampoza vipi huyu mzee wao wakaamua kumfungulia kesi ya madai mzee Magoma. Mzee magoma alijitokeza hadharani tena na kusema kuwa Yanga ina slow pacha .
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga kutoka katika mikono ya wanayanga asilia.
Msomali Hersi badala ya kukaa chini na kuona wanampoza vipi huyu mzee wao wakaamua kumfungulia kesi ya madai mzee Magoma. Mzee magoma alijitokeza hadharani tena na kusema kuwa Yanga ina slow pacha .
NO SHOTS ON GOALHakuna kitu Kama hicho.
Matokeo mabaya yanatokana na makosa ya uongozi kwenye sajiri, usimamizi mbovu wa nidhamu ya kocha na wachezaji. Pia kosa la kubadili kocha katikati ya mashindano makubwa.
Sisi wenye Yanga yetu tupo pamoja na uongozi. Binadamu kukosea ni lazima wakati fulani.