Hawezi kuuawa. Pork ni mboga maarufu tu katika mahoteli ya Dubai. Mwaka 2015 nilikuwa transit ya masaa 8 kutoka Singapore kurudi nchini kwa ndege za Emirates.Msafirishaji atauawa Airport
π4. Dini yoyote hatubagui
Na umasikini una zidianaWabongo umaskin umewaharibu akili sana
Hakuna kitu kibaya kama umaskin.
Waambie hao washinda njaaHawezi kuuawa. Pork ni mboga maarufu tu katika mahoteli ya Dubai. Mwaka 2015 nilikuwa transit ya masaa 8 kutoka Singapore kurudi nchini kwa ndege za Emirates.
Kwa kuwa nilikuwa na tiketi ya business class nilitolewa pale uwanjani na Limousine hadi 5-Hotel (Novotel-Deira City Centre). Nilikula pork baada ya kuona ni moja ya mboga zikizokuwapo.
Dubai ni international city yenye population mchanganyiko. Ile siyo Afghanistan
Ukifikisha niambie
Mna Umaskin wa akiliDah! hivi bado mnaamini serikali inatoa elimu bure kufuta ujinga kweli? Au ndo inazalisha mazuzu. Rip mwalimu.
Cheif hao watu watakua wanasafiri na nyama kama escoters Au vipiππNimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Kupima HIV, Kuna uhusiano Gani na Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai?Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Fursa au Furushi la nguruwe?Fursa hiyo mkuu π π
Nyama itaambukizwa vijiduduKupima HIV, Kuna uhusiano Gani na Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai?
ππJf jf jf inawapa watu presha za maisha hii si kamba kabisa
Hivi wale wanaouza parachichi na mazao mengine nje ya nchi huwa huwa wana escort wenyewe? Kwanini nyama ihitaji escort..naomba elimu.
Kapata tenda ila anakwambia ukienda kuomba kazi uende na vibali vya kusafirishia nyama hiyo ni akili au makamasiJf jf jf inawapa watu presha za maisha hii si kamba kabisa
Hivi mizigo kwenye ndege hubitaji eskoti?Ukifikisha niambie
Uarabuni wanachinja sio jela tuNguruwe kumbe unga wa sembe nan anataka kufia magereza ya uarabuni? Kule ukikutwa huwezi kuonga pesa maana pesa wanayo polisi anatumia BMW toleo jipya uta mpa nini zaidi