Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

Kobazi wanashangaa huko mbali dubai wakati hapo zenjibara tu mdudu anaongoza kwa kusafirishwa kuliko nyama nyingine yoyote
 
Kobazi wanashangaa huko mbali dubai wakati hapo zenjibara tu mdudu anaongoza kwa kusafirishwa kuliko nyama nyingine yoyote
Zanzibar (Unguja) kuna vijiwe vingi [ndani ya nyumba za wenyeji] vya kitimoto Zanzibar kuliko IDADI ya Bodaboda
 
Kama wameruhusu dini zote hii nyama haiwezi kosekana huko soko kubwa tu,ukiwataka njoo nikuuzie tu wengi bandani mwangu
 
Kama sio kuwafanyia biashara wafanyakazi basi.... Ww sio salama😂😂 kitimoto Dubai yalaaa🙌🙌
 
Upo sawa kabisa Dubai ina mchanganyiko wa mataifa , hata kuna moja ya Supermarket moja nilitembelea January wanauza pork hicho chumba kimeandikwa "Non-Muslims Only" hivyo hadi umeingia humo maana yake umeenda kwa hiyari yako.

Na nilikuta wana variety nyingi sana ya pork hata vitu ambavyo Tanzania sijawahi kuona vikiliwa kama kichwa, miguu n.k na niliambiwa pia nisiwe suprised pale kukuta pork maana ipo sehemu nyingi maana jamaa aliona nimepata mshangao fulani.

Muuzaji wa pale baada ya kupiga nae story mbili tatu alinieleza kwao ni ufilipino.
 
Hayo ndiyo maisha ya nchi za Kiarabu zilizo starabika. Huku kwa Waislamu wetu wa Buza eti walivunja mabucha ya nguruwe pale Tandale mwaka 1993
 
Nguruwe kumbe unga wa sembe nan anataka kufia magereza ya uarabuni? Kule ukikutwa huwezi kuonga pesa maana pesa wanayo polisi anatumia BMW toleo jipya uta mpa nini zaidi
Kwanini afie huko na walaji wakuu ni haohao? Saizi baada ya mfungo kumalizika kitimoto kwenye vijiwe haishikiki,foleni kubwa sana
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/2759471760923249
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…