Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Kasome page za mange haitakumbua
 
Nimeangalia clips za yatch oarty hiyo,ni balaa!Mtu na dada yake wanafanya ufuska huku mtu mzima ukishuhudia!
Sihitaji namba kujua umri wako ila yatosha kujua u mtu mzima sana kuwepo kwenye tukio lisilo na heshima kama hilo!
Dakika mbili mbele,Rayvany anasikika karibu na mike akitukana "kumamake"!

Nimewaza sana mpaka nikasema "shetani alitukosea sana,hako kaboat kangefaa kuwa mbadala wa mv Nyerere"!
 
Dua la kuku[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Inahitaji uelewa wa hali ya juu kuujua ukweli wa uwekezaji mkubwa pale wasafi media&recording label,je ni D'mond pekee na wenzie team WCB? kama sio yeye pekee dimond na WCB wenzie ,je ni nani yuko behind ya uwekezaji huo in pertinership?je ni tajiri gani ambaye yuko close na WCB Wasafi ambaye tunaweza kuona anahusika directly na uwekezaji pale usafini?kwa upande wangu na kwa kutumia darubini kali kabisa huyu wa kujiita #joe CMG C.E.O ametia mkono wake pale Wasafi empire,by any Means ni Kama kajishikiza wasafi bcoz inaonekana hana nguvu tena pale mawinguni [emoji739] #mr. RM,na hii ni kutokana na mgawanyo wa hisa pale CMG Kati ya hizo beberu mbili,kuna Anae endesha kampuni na yuko close na worker's na ni mtu wa mipango na Joe yeye ni kusikiliza tu kilichofanyika na kuvuta chake anapotaka,sasa amekuja kujishitukia hana sauti tena pale,so anatafuta pa Kutokea,na bcoz wasafi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1241][emoji3495][emoji290] aka take opportunity ili together na team WCB under D'mond wa create Biggest&strong empire,ili Wakachukue ufalme wa music bongo,media(in intertainment only) ,shows na adivertsment.kwa hali ilivyo pale CMG hawezi hata kuwatetea WCB au kupatanisha ili song's za WCB ziruke pale pale CMG,mwenye sauti ni yule @Mhaya,kwaio Joe ni Kama anamkomoa (refer D'mond yatch party yesterday,alikuwa kwenye attendance) au anamuonyesha RM Kuwa anaweza ku rise empire kubwa zaidi ya CMG,na naona anaelekea kufaulu na kuua kiburi cha mhaya na CMG Kiujumla,na naona Kama taratibu CMG wanakubali kuwa WCB empire ni [emoji91][emoji91][emoji91]. Note. Ni maoni yangu tuko tofauti kimtizamo,Welcome,am a new comer to the forum,be calm please.
 
Ogopa sana maskini wa hela na akili na kaushamba akipata hela atajiona anaakili na mjanja...


Diamond hana adabu kabisa
Halafu sijui ni nini,dada yake naye chupi linaonekana halafu anatingisha mbele ya kaka yake!Maadili ya wapi hayo
 
Eti anampa ruhusa ya kutokuoa ili aendelee kuwala hao akina dada maana wote wanamtaka!Maneno kutoka kwa mteule wa Rais!
 
Wasanii lazima waishi maisha kisanii...halafu hilo tusi lingekuwa kwa lugha nyingine lisingekuwa baya kama lilivyo kwa kiswahili! Kiswahili nacho kibaya sana sometimes
Maisha ya kisanii ndiyo yapi?Ya kumshuhudia dada yako akitikisa makalio chupi linaonekana limelowa!????
 
Wasanii lazima waishi maisha kisanii...halafu hilo tusi lingekuwa kwa lugha nyingine lisingekuwa baya kama lilivyo kwa kiswahili! Kiswahili nacho kibaya sana sometimes
Kaangalie kina Jay Z,Diddy,Iglisias,Bruno Mars,Beyonce,Taylor swift na wengine wengi!Wametoboa na wana heshima kubwa bila kufanya ufuska huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…