Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

We jamaa una ushabiki kiba hujaleta mada kwa minajiri ya kupata maoni ya watu, unajua maana halisi ya hizo party wewe? Huwezi kwenda beach na suti wala magaguro alafu usilete maneno ya kuwa esma kavaa chupi anakata mauno sio maadili ya kitanzania hiyo instagram, simu, nguo zako, Tv n.k navyo sio vya maadili ya kitanzania maadili ya mtanzania ni kuwasiliana na mtu ana kwa ana mengine malizia
 
Kaangalie kina Jay Z,Diddy,Iglisias,Bruno Mars,Beyonce,Taylor swift na wengine wengi!Wametoboa na wana heshima kubwa bila kufanya ufuska huo
Unaongea nini wewe brother unawajua uliowataja vizuri kweli nakupa task ndogo sana tafuta behind the scene ya nyimbo ya beyonce drunk in love pia na mambo yake ya nyuma kukaa uchi kwenye viwanja vya basket.
Tailor swift mpiga picha za utupu kwenye magazine enzi zake kipindi hajawa maarufu.
Didy bonge la muhuni.
Jay z ashafanya party hizi mpaka kero yeye na kanye
 
Eti anampa ruhusa ya kutokuoa ili aendelee kuwala hao akina dada maana wote wanamtaka!Maneno kutoka kwa mteule wa Rais!
Kabisa wajinga ndio waliwao mtizame ndugu kiba jahazi lake lilivyosasa linazorota
 
Halafu sijui ni nini,dada yake naye chupi linaonekana halafu anatingisha mbele ya kaka yake!Maadili ya wapi hayo
Maadili ya wapi na wewe kutumia instagram na JF??
 
Aliyehudhuria na kuaibika ni mwingine, aliyeandaa shughuli na unasema ni fuska mwingine.

Hapa duniani utapata tabu sana kuhangaika na mambo ya watu wengine.

Wenzako hayo ndio maisha waliyochagua na kuamua kuishi kwa huo mtindo.

Ishi maisha yako!
 
Na wasiwasi na nani mmiliki wa Clouds Media group.Wanasema ni ya familia ya Kusaga.Mi nakataa hapo.It seems Ruge ni mkubwa kuliko Kusaga.

Ruge ni zaidi ya mkurugenzi wa vipindi pale.Angekuwa muajiriwa.Angelishatimuliwa.

Kusaga anamuogopa Ruge.I don't know why?
 
Kusaga naye ni kwishney kabisa walahi
 
Ila Queen Darleen ana uke mrefu sana aisee.
 
Unamjua Joseph Kusaga au unamuona kwenye Tv tu?
 
CMG ni mali ya familia ya akina Kusaga bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…