Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Sio Tandale tu hata kwenye party huko baharini yupo,wenyewe watoto wa Daslam sijui mnaitaga Yachi party View attachment 890033
WANASEMA JOE NDIO BOSS WA WASAFI NA DIAMOND ANA HISA TU..
 
Acha upuuzi,hebu pekenyua uweke video hapa Diddy anafanya ufuska na dada yake,au beyonce na kaka yake,au kqnye na dada yake!
Halafu tofautisha party na na behind the scene ya kazi!
Huu ni ushamba,unashangilia dada yako anakata viuono na chupi lililolowa,shame!
 
Unamjua Joseph Kusaga au unamuona kwenye Tv tu?
Naye ni mchafu?Sijui personal life yake,naongelea status yake na umri wake mbele ya jamii!
Kama ana mambo ya kifuska,hayo sijawahi kuyaona kwenye media,ila hili la jana limeonekana
 
Ruge na kusaga wametoka mbali saaana tena saaana.

Enzi hizo kusaga anapiga kwny ma disco ruge alikua USA ndiye aliyekua anamtumia CD za kijanja kutoka ma mbele au Kusaga akija states enzi hizo kuchukua mzigo host wake alikua Ruge,hata wkt clouds inaanzishwa Ruge/Kusaga walikua wanapeana zamu zamu kuja kuwasha generator pale studio kwao umeme ukiwa unazingua.,hahah

Inshort wanahistoria ndefu sana hao majamaa.
 
Dada yako anaweza kuvaa chupi iliyolowa mbele yako huku anakatika katika?
 
Ronaldo na na mama yake

Morinho na mwanae,

Diddy na mwanae. Kuhusu kutukana hamna rapper asiyetukana kuanzia diddy mpaka Jigga, tena mitusi mikubwa kamfanya mpaka beyonce naye baadhi ya mistari yake anatukana. Alafu hapo na hizo ndio dress code zake sasa ulitaka D avae kanzu na dada zake wavae madera. Hela atafute mwenyewe na kumpangia umpangie ww, kwani ww nani D bado kijana mwacheni hafurahie ujana wake.
 
Anaehusika na operations za kila siku ni nani???familia inamiliki ndio ila sio wote wako kwenye daily operations mkuu....alaf pia kumbuka kwenye maslahi lolote linawezekana mkuu usiwaamini watu kwa kuwaangalia machoni tu
 
Mbona sijaona wapi wamelowanisha makalio na kuanza kukatika huku ndugu zao wakiangalia?????
 
Kaka kusaga ndio mmiliki wa hiyo WCB asikudanganye mtu diamond ni Ceremonial leader tu
Hata vijana wake akina Mustapha wameamia kule wasafi kbsa now,ile kampuni yake ya digital marketing...Set up ltd inaelkea kufa sababu wamewekeza nguvu kule
 
Mbona sijaona wapi wamelowanisha makalio na kuanza kukatika huku ndugu zao wakiangalia?????
We naona una chuki zako, sasa hao wapo beach alafu unauliza kuloana, kwani Morinho na mwanae si wametoga kuoga kwenye maji alafu unauliza wameloana, ujue sikuelewi. Kwa hiyo tatizo lako ni kukatika na si mavazi waliyovaa, we una matatizo na chuki zako mchana mwema utanipa njaa manake mpaka sasa naona huna point.
 
Wasafi tv ni mali ya Joseph Kusaga.
 
daaaahh hizi tetesi nilikuwa na zipuuzia lakini huu ni wakati wakuzipokea sasa " maana hata hiyo boat ni ya kusaga
 
Eti anampa ruhusa ya kutokuoa ili aendelee kuwala hao akina dada maana wote wanamtaka!Maneno kutoka kwa mteule wa Rais!
Alisema hivi kweli mbele ya kadamnasi "!!! ? kweli mwisho wao utakuwa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…