Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Kusaga naye ni kwishney kabisa walahi
Yaani na utuuzima wake wote na heshima aliyo nayo kafungamana na hayo makando kando .. Ama kweli dar uzee mwisho chalinze
 
Hebu achana hizo mambo Madam please!

Tusiwaingize wazazi bhana!
Rudi kule juu.
Wapo nilipompa neno la kashfa?
Kutaka amjibu mtu vizuri ndo anaiite mie malaya
Nami ndo mana nikarudisha mpira kwa kipa.
Sababu hata mama yake ni mwanamke kama mimi
 
Mkuu asante sana kutudurushisha
umechambua poa sana inaonekana uko vizuri kwenye marketing in general
 
Rudi kule juu.
Wapo nilipompa neno la kashfa?
Kutaka amjibu mtu vizuri ndo anaiite mie malaya
Nami ndo mana nikarudisha mpira kwa kipa.
Sababu hata mama yake ni mwanamke kama mimi
Ni kweli ila...

Anyway pamoja sana Madam ......kama atarudi nawatakia mpambano mwema!
 
Owner and The Business Entity are two separate things!.
Economic Assumption.
 
Ushamba ni wewe kusubiria utafutiwe dawa ya ukimwi.
Back in topic wamarekani wanautamaduni wao ambao umekwishatuingia beyonce ashafanya upumbavu wote kamaliza ingia kwenye tovuti ya TMZ tafuta uone tailor swift kashoot mpaka video bongo ni mkaa uchi na anapicha za utupu za magazine usiwe mbishi utaolewa ooooohooo
 
Jifunze kupangilia hoja zako na uandishi pia .
Na vizuri ungetumia kiswahili tu mana hiyo lugha hapo inatia kichefuchefu
 
Joseph kussaga ni mmiliki wa wasafi TV kama haufahamu Daimond ni geresha tu kama watu walivyodhani alikua mmiliki wa daimond karanga.
 
Mbona wewe hujaitwa limbukeni kutumia simu, computer, gari hii gadhabu ya umaskini ya wivu mbaya sana
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,unachamganya utandawazi na ulimbukeni!Kajifunze maana hizo mbili ndio urudi hapa
 
tofautisha scene za kazi na hii ya kula bata
 
Kweli wabongo wape picha tu inatosha
 
Naomba nikuache maana uelewa wako ni wakibojo huna likuingialo
Hahahahaaaa,unashabikia ujinga!Tena hizo gharama nitalipia mimi,njoo na dada yako tukafanye party beach,aje na chupi kutukatikia vidume huku ukiangalia!Ukifaulu hilo nitajuwa kweli unamaanisha unachokitetea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…