Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

Vijana wa sikuizi si ndiyo hawa hawa wanaomsifia kama mazezeta bora wazee wa 1964 kuliko vila wa 1990
 
huyo magufuli tutampima kwenye nyongeza za mishahara na kupandisha wafanyakazi vyeo period.ndio hayo makelele tutayapima validity yake kinyume na hapo itabaki kua makelele, maana mpaka sasa kuna wafanyakazi wana miezi miwili hawajalipwa mishahara na wengine hajapewa posho zao za kisheria.Hapo sijazungumzia utawala wa sheria na haki za binadam. Na wanaotaka aongezewe muda je ni wafanyakazi? au wakulima? au Je ni wafanya biashara? Je ni wanafunzi walio maliza vyuo na walio masomoni?
 
Yupo lakini kumpata ni majariwa!
 

Kikubwa hoja tu why and why not? Tupanue akili tu wanaosema hivo sawa waje na hoja zao na wanaopinga nao sawa waje na hoja zao, kuainisha hoja iwe kipaumbele, naanza kwa kuchukua hoja ya katiba, democracy na micro spectrum ama local scale of imaginations. Thanks I have digested a lot
 


Kwenye mapishi tunaweka chumvi na sio sumu. NB: pilipili sio lazima na si kwa wote, na chumvi kwa baadhi hawatumii, ila sumu haziwahusu wote
 
Kinachoacha maswali hapa ni

1. Wanaosifia
2. Anayesifiwa
3. Kinachosifiwa
4. Ulinganifu wa sifa

Ukiangalia vizuri consistency ya hivyo vitu, kama una akili timamu na uwezo wa kutafakari ukiwa huru kimawazo hapo ndipo utakapogundua jambo ambalo ndilo kiini cha mleta mada na hata kinachosumbua vichwa vya baadhi ya watanzania ambao wanaweza kutafakari mustakabali wa taifa hili kwa kina.
 
Good!
  1. Ni Kwa nini wasifiaji, wasifu na badala ya kuishia kusifia Tu, Kwa sifa zao zilezile ziwatume kusema yumkini huyu tunayemsifia aweza kuwa ni Mungu, Hilo litakuwaje kuwa ni kosa la msifiwa?
2. Msifiwa yuleyule, ambaye tunataka tumuone ni kama Mungu, Ndiye aliyewataka Watanzania wote Kwa Imani zao kumwomba MUNGU kuhusu Corona, huoni kwamba kosa linabaki Kwa wenye mitazamo ya kumwona msifiwa kuwa yu kama Mungu ili Hali yeye Hana hata habari hizo akirini mwake?

Wengi wa Watanzania tuna mizaha na Mungu muumbaji, si bule, tunapenda kuweka utani paspo stahili
 
Mkuu unanaamisha kufikiri hivyo ni upunguani..!! Hapana bwana yawezekana hatuna mtu kwa sasa!!

Ila mi so punguani !!
 
Umefanikiwa kuwatafakari wanaosifu na sifa zao!? Je sifa wanazotoa ni za dhati ama la?

Anayesifiwa ana hulka ya kupenda kusifiwa, ndio maana hata anapata wanaomsifu wakiwa na hitaji lingine nje ya sifa wanazompa ila ni kwa sababu wanamaslahi na wanaemsifia. Hawa wako tayari hata kushuhudia watanzania wenzao wakiumizwa kutokana na wanachosifia wao ila kwa kuwa wao wananufaika basi watasifia tu, je huo ndio uzalendo wa awamu hii?
 
Mbona Mbowe huwa mnasema hakuna wa kuvaa viatu vyake?
 
Umeandika vizuri sana mkuu. Hongera sana kukemea maamuzi ya wachache yenye kila chembechembe ya ushamba na ushenzi
 
Sijui kwanini Mimi nawaona walimu na watu wote ambao ni walimu kwa maana ya teacher Kama ni vilaza na huwa sitegemei lolote la maana toka kwao? Nisaidie jamani
Walimu wa siku hizi wazinguaji tu. Huwezi kuwafananisha na wale wa zamani zile waliotufundisha
 
Umeandika kwa umakini sana hiki kipande. Pongezi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…