Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia serikali ilifreeze akaunti yake na kurejesha hizo pesa.

Sasa mkuu wa nchi kusimama hadharani na kutamka kuwa kuna mabil ya pesa yamefichwa China, maana yake anafahamu benki, akaunti na hata walioficha.

Serikali iyarudishe hayo mabil na wahusika walio hai wachukuliwe hatua. Zaidi ya hapo kuna lingine nyuma ya pazia.
 
Sasa kama ni uongo je unafikiri Kuna hatua ya kuchukua kwenye jambo ambalo halipo??
 
Cctv camera ?
20230314_023828.jpg
 
Raisi wetu anaoenda sana kuropoka hovyo hovyo juzi tena amemwambia lema amemfutia kesa hiyo yote ni kujipendendekeza kwa matajri ili aonekane mwema.
 
Subiri ripoti ya CAG ndipo hatua zingine ziendelee. Kwenye utawala wa sheria anayetuhumu hapaswi kuwa mchunguzi. Na mchunguzi hapaswi kuwa mwendesha mashtaka. Na mwendesha mashtaka hapaswi kuwa HAKIMU.

Magufuli ALIFELI kwenye hili la utawala wa sheria. Aliwatuhumu mwenyewe akina Kitilya, Rugemalira, Harbinger Singh, Dickson Mwaimu, Tito nk. Bila uchunguzi akawapeleka rumande.

Wakiwa wako rumande huku mashtaka yamefunguliwa kwenye Mahakama yake ya MAFISADI ndipo wakawa wanahangaika kutafuta ushahidi.

Matokeo yake wale watuhumiwa wote hakuna aliyekutwa na hatia mpaka yeye mwenyewe alipokuwa anakufa mwaka .
 
Niliumia dogo mmoja alikamatwa na usd 12,000 mkinga wa kariakoo hajui chochote wakampa kesi ya Uhujumu Uchumi hela zenyewe alikopa Bank na vielekezo anavyo wahuni wakachukua na hela zenyewe safari ikaishia pale baadae kesi ikafutwa ila akarudi kuwa machinga walimfanya mfano ile laana na masikitiko ya watu hayawezi kuwaacha salama...
 
Wote hao waliokamatwa na kuwekwa rumande bila hatia ni wapumbavu sana ni wapumbavu pia wanaosema tu waliwekwa sero bila ushahidi na wakati wangewashauri kuishitaki serikali ili walipwe fedha walizoibiwa na Magufuli!
 
weka akiba ya maneno kijana, kuita wenzako wapumbavu ni kukosa ustaarabu
 
Ili mheshimiwa rais atimize hili la kutaifisha fedha kutoka China ni LAZIMA tumpe ushikiriano ili asijione amefanya maamuzi ya peke yake.
Nawaomba wanasiasa wote kutoka vyama vya upinzani wamuunge mkono Rais kwa hili na kwa mengine.
Kumbuka kuna viongozi ndani ya chama na serikali ambao walihusika kwenye hili. Hivyo anahitaji nguvu ya ziada kutoka ndani na nje ya chama chake.
 
Ingekuwa hii blunder kafanya mteule wake,angeshatengua uteuzi.
 
Inasikitisha sana, hiyo ni michezo ya Banana Republics kabisa.
Niliumia dogo mmoja alikamatwa na usd 12,000 mkinga wa kariakoo hajui chochote wakampa kesi ya Uhujumu Uchumi hela zenyewe alikopa Bank na vielekezo anavyo wahuni wakachukua na hela zenyewe safari ikaishia pale baadae kesi ikafutwa ila akarudi kuwa machinga walimfanya mfano ile laana na masikitiko ya watu hayawezi kuwaacha salama...
 
Kumbukeni kama ni kukamatana watakamatana CCM wenyewe ambao ndio wezi wa fedha zetu! kumbukeni hakuna CDM wala Cuf hapo!
 
Wote hao waliokamatwa na kuwekwa rumande bila hatia ni wapumbavu sana ni wapumbavu pia wanaosema tu waliwekwa sero bila ushahidi na wakati wangewashauri kuishitaki serikali ili walipwe fedha walizoibiwa na Magufuli!
Ungekuwa una hela hata ya kula mwezi mmoja tu, naamini usingeandika upuuzi huo
 
Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia serikali ilifreeze akaunti yake na kurejesha hizo pesa.

Sasa mkuu wa nchi kusimama hadharani na kutamka kuwa kuna mabil ya pesa yamefichwa China, maana yake anafahamu benki, akaunti na hata walioficha.

Serikali iyarudishe hayo mabil na wahusika walio hai wachukuliwe hatua. Zaidi ya hapo kuna lingine nyuma ya pazia.
Ukiona Hivyo ujuwe wanajiandaa wao kuziiba!
 
Back
Top Bottom