Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Bora angenyamazaUkiwa sehemu ya huo wizi unaanzaje kushika wenzio
Ngoja profesa wa jalalani aje atupe factsSasa kama ni uongo je unafikiri Kuna hatua ya kuchukua kwenye jambo ambalo halipo??
Cctv camera ?Sasa kama ni uongo je unafikiri Kuna hatua ya kuchukua kwenye jambo ambalo halipo??
Wote hao waliokamatwa na kuwekwa rumande bila hatia ni wapumbavu sana ni wapumbavu pia wanaosema tu waliwekwa sero bila ushahidi na wakati wangewashauri kuishitaki serikali ili walipwe fedha walizoibiwa na Magufuli!Subiri ripoti ya CAG ndipo hatua zingine ziendelee. Kwenye utawala wa sheria anayetuhumu hapaswi kuwa mchunguzi. Na mchunguzi hapaswi kuwa mwendesha mashtaka. Na mwendesha mashtaka hapaswi kuwa HAKIMU.
Magufuli ALIFELI kwenye hili la utawala wa sheria. Aliwatuhumu mwenyewe akina Kitilya, Rugemalira, Harbinger Singh, Dickson Mwaimu, Tito nk. Bila uchunguzi akawapeleka rumande.
Wakiwa wako rumande huku mashtaka yamefunguliwa kwenye Mahakama yake ya MAFISADI ndipo wakawa wanahangaika kutafuta ushahidi.
Matokeo yake wale watuhumiwa wote hakuna aliyekutwa na hatia mpaka yeye mwenyewe alipokuwa anakufa mwaka .
weka akiba ya maneno kijana, kuita wenzako wapumbavu ni kukosa ustaarabuWote hao waliokamatwa na kuwekwa rumande bila hatia ni wapumbavu sana ni wapumbavu pia wanaosema tu waliwekwa sero bila ushahidi na wakati wangewashauri kuishitaki serikali ili walipwe fedha walizoibiwa na Magufuli!
Niliumia dogo mmoja alikamatwa na usd 12,000 mkinga wa kariakoo hajui chochote wakampa kesi ya Uhujumu Uchumi hela zenyewe alikopa Bank na vielekezo anavyo wahuni wakachukua na hela zenyewe safari ikaishia pale baadae kesi ikafutwa ila akarudi kuwa machinga walimfanya mfano ile laana na masikitiko ya watu hayawezi kuwaacha salama...
Ungekuwa una hela hata ya kula mwezi mmoja tu, naamini usingeandika upuuzi huoWote hao waliokamatwa na kuwekwa rumande bila hatia ni wapumbavu sana ni wapumbavu pia wanaosema tu waliwekwa sero bila ushahidi na wakati wangewashauri kuishitaki serikali ili walipwe fedha walizoibiwa na Magufuli!
Ukiona Hivyo ujuwe wanajiandaa wao kuziiba!Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia serikali ilifreeze akaunti yake na kurejesha hizo pesa.
Sasa mkuu wa nchi kusimama hadharani na kutamka kuwa kuna mabil ya pesa yamefichwa China, maana yake anafahamu benki, akaunti na hata walioficha.
Serikali iyarudishe hayo mabil na wahusika walio hai wachukuliwe hatua. Zaidi ya hapo kuna lingine nyuma ya pazia.