Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

Mjue samia ni mswahili wa pwani. Kupiga vijembe ni desturi ya watu pwani. Inawezekana nia yake watu waone jpm alikua na makandokando licha ya umma wa wananchi kumpenda na kumwamini sana... sina hakika ya hili.
Kwanza tukubaliane kitu kimoja. Mwenyewe samia hajatamka hela zote ya plea bargain zimepotea. Ila kaonesha akiuliza hapewi jibu la kueleweka na kwamba kaambiwa hela zingine ziko china. Hajasema kama kuna wizi.
Hicho ni kijembe kwa sababu wabaya wa magufuli kwao magufuli ni mwizi na kaficha hela china. Licha ya kwamba sheria ya plea bargain imeendelea kutumika hadi sasa miaka miwili tangu magufuli amekufa. Wala mama hakusema hela zimepelekwa lini china.
 
The late maxima hakuwahi kukwapua hata sailing ya tanzania huon ulikua ni uongo wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…