Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Aaashiii Dar hiii hiii ndio inapewa maujiko namna hii 😁 Big no binafsi huwa sielewi watu kwann huwa wanapakubal Dar ,naishi Mwanza sehemu nzuri san kwangu Dar nmewah kukaa miez 7 tu safar zingne naendaga na kurud baada ya 3 au 4 ila sivutiw kbs au mm nnashida
 
actually kila eneo dar lina life style yake,
so,
unaweza ishi eneo ambalo ni tofauti na expectations au principal zako za maisha ukapachukia. But kuna maeneo ukiishi hauwezi jutia but utajilaumu why umechelewa kugundua kuishi apo πŸ’

all in all maisha ni popote na kila moja ana mahitaji, vipaumbele, malengo, maoni na mtazamo juu ya maisha ya mahali mahalia ..

Ila to me,
Thank you dar es salaam πŸ’
 
Nenda tu kaka , nyie wakuja ndiyo mlikuja na chuma ulete kiasi kuwa wazawa hela haishikiki .
Yaani tukipata hela zinaishia klabu , kuwapa wadada na mwisho mlituroga akili hatuondoki mwaketu hata tuowe sisi tunabanana kwa baba na mama
 
Haahaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mnaposema "Dar huwezi izunguka kwa siku moja kama mikoa mingine" huwa mna maanisha nini?

Kwamba mkoa wa morogoro unaweza kuutembea wote kwa siku moja ila Dar huwezi?

NB: Dar ndio dream City ya kila mtanzania
 
Km una hela isiyokuwa na mawazo, hakuna sehemu isiyokuwa nzuri Tanzania.
Nawashauri vijana muelekeze bidii kwenye kutafuta hela na sio kupoteza muda mitandaoni...

Hapo Daresalam ukikosa pesa panageuka kuwa Jehanam, tofauti na Njombe.
 
Where are you heading to?
 
Kama mgeni na umefikia ushuani,ukaenda posta kidogo then ukaondoka utapaona pazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…