The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kapicha basi tuone ulivyonenepa.Wananchi tuna amani....tumenenepaš
Wananchi tuna amani....tumenenepaš
Angalia usije kushindwa kufanya kazi za ujenzi wa taifa sasa!Wananchi tuna amani....tumenenepaš
Hujui ulisemaloKwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Ameandika mkuu.Hajaongea.Hata sjui unaongea kitu gani!
Yeye kaeleza kwa kadiri ya ayaonayo.Wewe tupe upande wako.Hujui ulisemalo
Umeibiwa nini wewe mpwa wa marehemu?Kwenye kuruhusu matendo ya kifisadi na wizi.Ć
Chawa hamnaga aibu, ndugu tuangalie kizazi chetu kinakuja Kitakuta hakuna kitu kwenye hazina, Sasa hivi Serikali imekopa Tilioni 30 ndani ya miaka 2, na hazionekani zilipo kwenda. Mfumko wa Bei asilimia 120. Mungu hatusaidie.Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
NAUNGA MKONO HOJAKwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Safi sana aiseeNAUNGA MKONO HOJA