Mkuu umeongea ukweli mtupu,Tatizo Watanzania wengi waliosoma History wamejengwa kuwachukia Wazungu, mi pia,ila Huwa nikikaa na Wazee wangu wananieleza Ukweli, vyote tunavyotumia ni kutoka Kwa Wazungu, Baada ya Uhuru,
Pasi,jiko,magari,nguo,Simu za Mezani,mazao mbalimbali hata kama ni kwa Faida yao lakini tunayaona,Sisi tulikuwa Tunavaa magome,tena tuko Peku,Tumeanza Kuvaa Viatu Miaka ya 1960s,
Lakini Kuanzia miaka ya nyuma ni Peku shuleni Tuu,
Pamoja kuwa mengi Wazungu walifanya kwa faida yao,lakini Maendeleo yalionekana na Sisi tukatumia/Tunatumia!
Mzee wangu alikuwaga ananiambia Tangu zamani, haya mambo nilikuwa nambishia sana, lakini Pole pole nikaanza kumuelewa, unajua TV, redio, simu, nyumba Nzuri ni Kwa Wazungu tu, hata Shule, madaktari, wahandisi, Wanasheria yote haya watu wanayosasahivi yametoka Kwa Wazungu!
Ni mengi mno kuyataja!
Sent using
Jamii Forums mobile app