Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Wanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
Mbaya zaidiiiii mtu mmepiga stry kadhaa anashindwaj kuchangia mada anakua anasema

ahaaaa sawa
Oooh kumbe
Mhhhh
Enheee
Sijui
Aaaah mtu kama huyo ngum sana kudeal nae inafikia hatua mnabaki mnatazamana tu mkuu
 

Kumbe ndiyo wewe nilikukuta pale Kibanda Cha Mkaa upo busy na simu?
 
Vijana bado hamjawajua wanawake nyinyi

Wanawake wanapenda sana kueleza kuhusu feelings na emotions zao, daily routines zao hiyo ndio asili yao

Mnachofeli mnataka nyie ndio mtawale mazungumzo muonekane mnajua kuongea sana

Tupia vimaswali vya topic ambazo vinagusa maisha yake ya kila siku hakuna mwanamke ambaye hutaona anaanza kutabasamu na kuongea wewe kuwa na maneno machache lakini usiwe cool sana
 
Mkuu mwanamke hata kama amesoma tofauti ni ndogo sana. Wanatofaitiana tu kwenye uchangamfu ila kwenye content wanafanana sana.
 
Kumbeeeeeee eti Lamomy ni kweli hiki
 
Wanaume wengi wanapenda umbea ila wanaona soo kujionyesha, na zile story za bed to bed midfielder’s ngono Kanté aah hapo utamkosha 😹😹😹

Mwanamke akiwa anampenda mwanaume Huwa anaongea kama redio.

Mimi Huwa ninazima TV na simu ili nimpe Uhuru ya kuongea.

Siyo kwamba napenda umbea isipokuwa ninamfurahisha Kwa kumpa Uhuru wa habari.

Sasa hivi hapa nimemuomba break maana tumeongea nusu saa kwenye simu na bado hajamaliza.

Wapendanao hupigiana umbea. Kama umbea hamna basi upendo haupo!
 
Sasa anza stori za Mpina anapambania Sukari utashangaa ana Master Degree na hamjui Mpina ni nani wala Bashe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…