Kushabikia Polisi kuua watuhumiwa, ni ujinga uliopitiliza

Police state in the making, polisi wetu ni majambazi in uniforms, kisheria police hawaruhusiwi to shoot to kill unless, maisha ya raia au yao yakiwa hatarini, katiba mpya ni muhimu ili itupatie IPID
 
Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.

View attachment 2367623
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:

View attachment 2367622
Na wewe huenda ni panya road nakuambia siku zako zinahesabika,hamuwezi kuua,kujeruji na kupora kisha muachwe mkitamba mitaani au mpelekwe mahakamani,mfungwe kisha mrudi kufanya yale yale.Dawa yenu ni chuma chuma kazi imeisha ndipo uharifu utakoma hatutaki kuwa mexico sisi.
 

Wewe una macho juu juu kwa maelekezo yaliyopo unafuzu pasi na shaka kuwa u panya road.
 
Miye ni mhanga wa panya road. Huenda nawachukia kuliko wewe. Ila si sahihi kuwauwa wao wala watuhumiwa:

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote
Kwa hiyo na hao Panya Road wanavyowavamia wananchi, kupora mali zao na kuwau hao hao wananchi ni sawa? Maisha ya panya road yaa thamani zaidi kuliko maisha ya wananchi wengine??? Tusidanganyane jamani; wacha na wao wauawe kama walivyokuwa wanaua wananchi wasiokuwa na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…