- Thread starter
- #41
Yasemekana walipo wakisikia watu wanaandamana kudai haki zao, Ili kuhalalisha ufwedhuli wao watawaita panya road.Polisi wamefanya kazi nzuri sana, nawapongeza mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yasemekana walipo wakisikia watu wanaandamana kudai haki zao, Ili kuhalalisha ufwedhuli wao watawaita panya road.Polisi wamefanya kazi nzuri sana, nawapongeza mno
Mahakama sio solution ya uhalifu ndugu.Extrajudicial killings ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania.
Kamata Vibaka wapeleke Mahakamani.
Panya aogopi Sheria bali bunduki.Miye ni mhanga wa panya road. Huenda nawachukia kuliko wewe. Ila si sahihi kuwauwa wao wala watuhumiwa:
Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote
Yeyote aliyehusika na kumuua binadamu kwa upanga, neno linamtabiria kufa kwa upanga.... Hii haibagui Polisi wala Raia wa kawaida.
Upumbavu mbaya zaidi ni wewe kuwajua panya rodi wako wapi, halafu kulaumu vyombo vinavyo washughulikia kisheria , wakati wewe ukiwa nyuma ya keyboard.Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
View attachment 2367623
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
View attachment 2367622
Kama waliua kwa upanga nao watadedi kwa upanga. Ni swala la muda tu. Kuna mtu inasemekana aliamuru mtu auwawe kwa risasi. Bahati mbaya mtu huyo hakufa, upanga ukamrudia yeye na hivi sasa anakumbukwa kwa "legasi" na Waumini wake....Waonaje tukiliingiza neno hili likawa rasmi kwenye katiba, Ili nasi tukifanya vitu vyetu tusilaumiane mahali? Nani hakuwasikia? Si ni kina Goodluck, Mahita, Jumanne, na yule mwenzao mwingine?
![]()
Baba wa Taifa alikuwa kinara wa matusi kwenye siasa.
Ukithubutu kuwa na wazo tofauti la lake anakuita pumbavu.
Alisaidia kupanda mbegu ya siasa za chuki zilizotamalaki leo.
Ujinga uliopitiliza ni mzigo. Wako anauita Nyerere kuwa ni upumbavu. Usaidiweje mp*mbavu wewe?Hiri rireta mada ringekua karibu yangu tungekua tunaongea mengine
Mkuu sijui unafanya kwa bahati mbaya au unafanya makusudi tu ,Na kazi ya Panyaroad?
Kwa muktadha huo hakuna umuhimu wa kuwepo sheria na katiba maana haina tijaWanapokosea na kuua Raia kama kule Mtwara tuna haki ya kuwalaumu,wanapofanya operations za kutokomeza upumbavu inabidi wapongezwe.
Mwenyezi Mungu angeweza kukukutanisha wewe na Panya Road siku moja wakutie adabu ila wasikuuue ili upate funzo. DeepPond unamuona Mpuuzi huyu.Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
View attachment 2367623
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
View attachment 2367622
Basi muswaada upelekwe Bungeni ili hukumu ya ukibaka iwe ni kupigwa risasi hadharani bila kuuliza swali.Mahakama sio solution ya uhalifu ndugu.
Muhalifu anaogopa bunduki na sio mahakama.
Sheria ni kwa ajili ya watu civilized.Basi muswaada upelekwe Bungeni ili hukumu ya ukibaka iwe ni kupigwa risasi hadharani bila kuuliza swali.
Ni hatari sana kupuuza sheria ndugu.