Mkuu sijui unafanya kwa bahati mbaya au unafanya makusudi tu ,
Kiukweli siungi unyang'anyi ,kuua na kupola (uhalifu) kunaofanywa na panya road hata nukta lakini piah siungi mkono polisi kuvunja sheria na katiba (Kwa kuua mhalifu )
Tunapaswa wote tuwe watiifu Kwa sheria na katiba maana ndo muongozo wetu Kwa pamoja
Ikiwa tunaona sheria inawabeba wahalifu si wapeleke mswaada bungeni Ili ije sheria itakayokuwa mwarobaini wao.
Mkuu jiulize kwa nini mwizi wa kuku anahukumiwa miaka 30 na anafanya ubadhirifu wa mali ya umma anahamishwa kituo cha kufanya tu kazi au wakiona aibu saana ni kulipa faini ambayo haiendani na ubadhirifu alioufanya.