sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Acheni kutetea ujingaUna uhakika hawa waliouwawa wamechanja watu kama kuni?
Pande za Tarime Kuna ushahidi kuwa tuhuma zako si za kweli.
Ushahidi wa maovu ya polisi kuanzia lini mmekuwa wageni nao?
Kwanini kama ni halali kuuwa watuhumiwa huu wigo usipanuliwe Ili kuwashughulikia wahalifu wote au hata kuidhinishwa tu kuwa halali kwa mujibu wa sheria?
Tangu lini makosa mawili yakahalalisha jingine?
Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
Wenyewe wakiua sawa c ndio