Kushabikia Tena Simba bye bye

nakushauri uwe mvumilivu,kuna shida ndio lakini sisi yanga tulipitia hizo shida lakini,hatukuzira timu,tukiendelea kuwa nayo mpaka leo tupo kidogo pazuri,sasa mkiizira timu nani ataijenga?
 
Timu ni kama kabila ndugu yangu hatuwezi kubadili!!!!!
Usimuangushe mwalimu wako wa kiswahili....'mbio za sakafuni huishia ukingoni ,hakuna marefu yasiyo na ncha'
Muda wa sanaa za Mr jaribu tena na Mangungu unaelekea mwishoni!!!
 
nakushauri uwe mvumilivu,kuna shida ndio lakini sisi yanga tulipitia hizo shida lakini,hatukuzira timu,tukiendelea kuwa nayo mpaka leo tupo kidogo pazuri,sasa mkiizira timu nani ataijenga?
Huyo ni Topolo lo mwenzako.
 
Muda wote alikuwa anatukana na kufyonya huku akitaja jina la Fred. Sasa nikamuomba 30 to 45 minutes after mpira kuisha, anicheki ili kucomfirm kama Yuko salama.

Ila naona kimya mpaka muda huu. [emoji28]
Labda wanampiga cha mwisho kuondoa hangover ya utopolo kufanya vibaya.
 
Nimesoma heading ya uzi na kufananisha na content ya uzi wenyewe, naona havihusiani..!! Heading unaiaga 5imba lakini content unataka wachezaji wa 5imba watafutiwe kazi nyingine..!!
 
Acha hasira waamini mastraika wetu hatari kama Papaaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa watatuvusha salama ligi kuu ni yetu na mwakani tutashiriki shirikisho au ikishindakana kabisa tutashiriki mashindano ya ramadhani cup.
Aaaahaaa

Naunga mkono hoja
 
Ulimuomba Nini mkuu [emoji23][emoji23]

. unfortunately Kalpana Alifaint Jana Baada mpira kuisha .....Kwa taarifa za awali naskia bado hajaamka ....yupo hospital ya kibondo kule kigoma
Hapna hakai dodoma Yuko hapa dodoma ,ilazo Ni jirani yangu kbsa tunasali nae jumuia moja
 
Mashabiki wa Simba bhana, yaani timu ikipata matokeo ndo watu wanajifanya kuumizwa na mwenendo wa timu.
 
 
Zebedayo kavaa kanzu ya Oman leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…