Kushabikia Tena Simba bye bye

Kushabikia Tena Simba bye bye

Et hela ya kununua mchezaji 1 imeenda kununua wachezaji 4! Kumbe watu wanakula hela za usajili.
Mo kaacha kutoa na kujihusisha na simba na yule dada alijitoa kuwa CEO
Daaah Bora hata babra
 
nakushauri uwe mvumilivu,kuna shida ndio lakini sisi yanga tulipitia hizo shida lakini,hatukuzira timu,tukiendelea kuwa nayo mpaka leo tupo kidogo pazuri,sasa mkiizira timu nani ataijenga?
Pesa zipo Tatizo management
 
Timu ni kama kabila ndugu yangu hatuwezi kubadili!!!!!
Usimuangushe mwalimu wako wa kiswahili....'mbio za sakafuni huishia ukungoni ,hakuna marefu yasiyo na ncha'
Muda wa sanaa za Mr jaribu tena na Mangungu unaelekea mwishoni!!!
Kung'oka wale ndugu ni ngumu [emoji23]
 
[emoji867][emoji867][emoji867]
[emoji23][emoji23]
1712718253561.jpg
 
Back
Top Bottom