Kushabikia Tena Simba bye bye

Kushabikia Tena Simba bye bye

Bila CCM usingekuwa mjinga wa kiwango cha juu ulicho.

Na utabaki mjinga wakati wote wa CCM kuwa madarakani.
Huku CCM tunawaona nyie wapinzani ndo wajinga [emoji23][emoji23] coz hamtaki kukubali juhudi za serikali
Mmekukuwa brainwashed
 
Maoni ya wadau

Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando

mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba

Ni mawazo yangu lakini..

Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Acha kusaliti chama mwamba,mke au mume akizingua dawa inaweza kuwa sii kumwacha😅
 
Maoni ya wadau

Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando

mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba

Ni mawazo yangu lakini..

Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Naona umesharudi likizo, baada ya "KUFURUSHWA" kule South! Jamaa walipumzika kidogo! Machungu yamepungua, sasa unaendeleza ile kazi yako ya "kupambana" na Simba!
Screenshot_20240411-085218.jpg
 
Back
Top Bottom