Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Bila CCM usingekuwa mjinga wa kiwango cha juu ulicho.Bila CCM.....usingekuwa keyboard warriors unfekuwa mkimbizi.kama wasomali
Madarasa imekujengeam... Umeme
Huku CCM tunawaona nyie wapinzani ndo wajinga [emoji23][emoji23] coz hamtaki kukubali juhudi za serikaliBila CCM usingekuwa mjinga wa kiwango cha juu ulicho.
Na utabaki mjinga wakati wote wa CCM kuwa madarakani.
Acha kusaliti chama mwamba,mke au mume akizingua dawa inaweza kuwa sii kumwachašMaoni ya wadau
Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando
mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba
Ni mawazo yangu lakini..
Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Mjinga ni wewe hapo uliyefanywa mjinga milele kwa ahadi hewa.Huku CCM tunawaona nyie wapinzani ndo wajinga [emoji23][emoji23] coz hamtaki kukubali juhudi za serikali
Mmekukuwa brainwashed
Jua shida ilipo,kawaida shida haikimbiwi ila inatatuliwa,na maisha mengine yanaendeleaš«Mbinu Gani tuitumie mkuu
Naona umesharudi likizo, baada ya "KUFURUSHWA" kule South! Jamaa walipumzika kidogo! Machungu yamepungua, sasa unaendeleza ile kazi yako ya "kupambana" na Simba!Maoni ya wadau
Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando
mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba
Ni mawazo yangu lakini..
Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Mbona naongea ukweli mkuuNaona umesharudi likizo, baada ya "KUFURUSHWA" kule South! Jamaa walipumzika kidogo! Machungu yamepungua, sasa unaendeleza ile kazi yako ya "kupambana" na Simba! View attachment 2960326