Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Kufika mwisho wa uchunguzi ni kama tu huo uchunguzi upo kweli. Tofauti na hapo kama ilivyotokea huko nyuma muathirika ndie atakaepewa uhaini.
 
Muroto anataka kujua ukweli wa tukio? Na kwamba tukio hilo lisitumike kisiasa kutafutia umaarufu? Hahahaha OK mimi nimeshaelewa
 
Uchunguzi wa tukio la Lissu uliishia wapi ?
 
Unyama kama huu mpaka lini,alipigwa risasi Lissu mpaka leo hakuna uchunguzi wowote .
Ifike mahali tuseme inatosha .
Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
 
Rais wa Sudan aliye lupango Al Bashir alikuwa na wapambe duni na wajinga kama wewe , kilichomkuta unakijua
Kwa hiyo kilichomkuta Mbowe Mugabe jana alikuwa na wapambe ngangari kwa nini wasimsaidie, mtu ameanguka bafuni kwa magonjwa yake ya kuzimia mara kwa mara alafu mnadai kapigwa na wasiojulikana!
 
NASEMA IV ILI TUKIO SIO LA KISIASA ACHENI MIHEMKO

OVA 😏
 
Leo chadema wamethibitisha kua muda wote walikua Wana wahadaa watu kua Serikal ilitoa ulinzi na camera eneo la tukio ambalo alishambuliwa Tundulisu

Leo katibu mkuu wa chadema John Mnyika amewambia waandish wa habari kua Baada ya tukio la shambulio la Tundulisu Dodoma serekal na Bunge vilikaa na kupanga ulinzi kwenye majengo yote ya serekal na kufunga CCTV camera na kuahid kuhakikisha ulinzi wa viongozi Jijin Dodoma. Na kuhoji Kwanini Serikal ili ahid ulinzi wa viongozi lakini Mh Mbowe kavamiwa Tena eneo la serekal?

My point Kama chadema wanajua kabisa kua kipind anashambuliwa Tundulisu hapakua na Ulinzi
Kwann wanailaum Serikal na kigezo Cha kutokua na security camera ndio ushaid kwao? Je tuseme chadema tukio walilipanga wao kwa udhaifu wa kutokua na Camera semehem ambayo ilistai kua na camera?

Kama mmnajua wakat anashambuliwa Tundulisu hapakua na mlinzi Kwann mnasema ulinzi ulitolewa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…