Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
What if Lissu angekufa, ina maana uchunguzi usingefanyika ?

Muwe na aibu mnapotetea ujinga wa serikali yenu
 

Chadema sisa imewashinda sasa wanatafuta visingizio,
Eti mwenyekiti ashushwe kisha dereva asijue kama bosi wake ameingia ndani salama?
Na kama derva aliondoka mapema kabla mbowe hajaingia ndani basi huyo deleva anajua kinachoendelea.
 
Tukio limefanyika saa saba usiku taarifa inatolewa police saa 9.30 usiku, kwa hiyo hawakuwa wanahitaji msaada wa police?
Hawa jamaa wana vituko sana.
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
 
Mbowe ndo mtu sahihi wa kuelezea huu mkasa maadam kapigwa miguu na si mdomo atoke na aeleze...
 
Chadema ni ze comedy [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwa mtazamo wangu, shambulizi dhidi ya KUB sio tukio la kawaida na hivyo juhudi za ziada zinatakiwa kufanywa ili kuwapata wahusika.

Amandla...
 
Wangekufa kusingekuwa na uchaguzi?
Ungekuwepo maana maiti zingepelekwa mortuary zikafanyiwe post mortem simu zao zingeangaliwa mazungumzo ya mwisho na vitu kama hivyo ambavyo ni ngumu kama mtu yuko hai
 
Wengine wanasema ni ugomvi wa kimapenzi tusubiri uchunguzi
Anasemekana alikuwa na mbunge wa viti maalumu na ndio alietoa taarifa polisi,swali saa Saba usiku uko na mbunge wa kike nyumbani kwako mnafanya Nini???
 
Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
Angeanzia kwa Polepole ambae kwa niaba chama chake, alikuwa ameandaa barua ya 'pole' kwa CHADEMA na Lissu, siku moja kabla ya tukio.
 
Tusiingize siasa wala ushabiki kwenye maswala muhimu ya usalama wa watu bila kujali itikadi lazima usalama uwepo na kutafuta suluhisho, haiwezekani mtu au watu wafanye uhuni wa aina hiyo ukubalike, ni kuchonganisha serkali na watu wake kana kwamba haiwezi kuwalinda. Pole zake mheshimiwa
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
🚮🚮🚮 Uatendelea kuwa mramba nyayo mpaka utakufa
 
Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
Wangeanzia kwa Polepole ambae kwa niaba ya chama chake, alikuwa ameandika barua ya 'pole' kwa CHADEMA na Lissu, siku moja kabla ya tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…