Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
What if Lissu angekufa, ina maana uchunguzi usingefanyika ?

Muwe na aibu mnapotetea ujinga wa serikali yenu
 
Leo wakat katiba mkuu wa chadema John Mnyika akiongea amesema kua serekal inatakiwa iwafanyie uchunguz baadh ya watu ambao tayar walikua wamesha toa kaul mbaya juu ya kiongozi wao Mbowe kwa kudai kua maneno walio ongea yanaendana na tukio

Pia chadema wamesema Polis TANZANIA wamkamate mashimo ili wamuhoji sababu anaweza kusaidia katika uchunguz. Ili ni sawa Ila hili apa Lina fikirisha
Ameweza kumtaja Mchungaji Mashimo ili akamatwe ahojiwe Kama kutoa ushirikiano kwa Polis Ila kakataa kuwataja alio kua nao Mbowe ili Polis isiwahoji Sasa niwaulize chadema mnataka polis ifanikishe au ifel?

Kwanin walio kua pamoja na mbowe muwafiche Kuna Sir gani na je wakat mwenyekit Mbowe anashambuliwa wao walikua wanafanya Nini?

Kwani hamuon Kuna umuhim wa kuwaleta au kuwataja wale walio kua na MBOWE ili wahojiwe waweza kulisaidia jeshi la Polis?

Kwann Mashimo ametajwa na hakuepo eneo la tukio Ila walio kuepo wamefichwa mkiulizwa sababu et mnafanya uchaguz
Uchunguz gan uo? Hamtak kuonyesha ushirikiano kwa Polis wakiacha kufatilia Mambo yenu mnasema wanatumika why


Chadema sisa imewashinda sasa wanatafuta visingizio,
Eti mwenyekiti ashushwe kisha dereva asijue kama bosi wake ameingia ndani salama?
Na kama derva aliondoka mapema kabla mbowe hajaingia ndani basi huyo deleva anajua kinachoendelea.
 
Tukio limefanyika saa saba usiku taarifa inatolewa police saa 9.30 usiku, kwa hiyo hawakuwa wanahitaji msaada wa police?
Hawa jamaa wana vituko sana.
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
 
Mbowe ndo mtu sahihi wa kuelezea huu mkasa maadam kapigwa miguu na si mdomo atoke na aeleze...
 
Leo wakati Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika akiongea amesema kuwa serekal inatakiwa iwafanyie uchunguzi baadhi ya watu ambao tayari walikua wameshatoa kauli mbaya juu ya kiongozi wao Mbowe kwa kudai kua maneno waliyo ongea yanaendana na tukio.

Pia, Chadema wamesema Polisi TANZANIA wamkamate Mashimo ili wamuhoji sababu anaweza kusaidia katika uchunguz. Hili ni sawa ila hili apa linafikirisha.

Ameweza kumtaja Mchungaji Mashimo ili akamatwe ahojiwe Kama kutoa ushirikiano kwa Polis Ila kakataa kuwataja aliokuwa nao Mbowe ili Polisi isiwahoji, sasa niwaulize chadema mnataka polisi ifanikishe au ifeli?

Kwanini waliokuwa pamoja na Mbowe muwafiche Kuna Sir gani na je wakat mwenyekit Mbowe anashambuliwa wao walikua wanafanya Nini?

Kwani hamuoni kuna umuhimu wa kuwaleta au kuwataja wale waliokuwa na MBOWE ili wahojiwe, waweza kulisaidia jeshi la Polisi?

Kwanini Mashimo ametajwa na hakuwepo eneo la tukio ila waliokuwepo wamefichwa? Mkiulizwa sababu et mnafanya uchunguzi. Uchunguzi gan huo? Hamtak kuonyesha ushirikiano kwa Polis wakiacha kufatilia Mambo yenu mnasema wanatumika, why?

Chadema ni ze comedy [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwa mtazamo wangu, shambulizi dhidi ya KUB sio tukio la kawaida na hivyo juhudi za ziada zinatakiwa kufanywa ili kuwapata wahusika.

Amandla...
 
Wangekufa kusingekuwa na uchaguzi?
Ungekuwepo maana maiti zingepelekwa mortuary zikafanyiwe post mortem simu zao zingeangaliwa mazungumzo ya mwisho na vitu kama hivyo ambavyo ni ngumu kama mtu yuko hai
 
Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
Angeanzia kwa Polepole ambae kwa niaba chama chake, alikuwa ameandaa barua ya 'pole' kwa CHADEMA na Lissu, siku moja kabla ya tukio.
 
Tusiingize siasa wala ushabiki kwenye maswala muhimu ya usalama wa watu bila kujali itikadi lazima usalama uwepo na kutafuta suluhisho, haiwezekani mtu au watu wafanye uhuni wa aina hiyo ukubalike, ni kuchonganisha serkali na watu wake kana kwamba haiwezi kuwalinda. Pole zake mheshimiwa
 
Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
Wangeanzia kwa Polepole ambae kwa niaba ya chama chake, alikuwa ameandika barua ya 'pole' kwa CHADEMA na Lissu, siku moja kabla ya tukio.
 
Back
Top Bottom