Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwa hiyo mtume aliamrishwa kufuga ndevu kweny Qur an ?Ebu soma uelewe.Kumbe hata maana ya Sunnah huijui. Kwanini hamsomi vijana ?
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.
Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.
Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.
Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
Sasa hivi kuna waraka unaoruhusu rasta shuleni.Sio lazima, hata ukienda kwao kweny taasisi zao sio wote wanafuga ,wengine hawana kabisa kutokana na maumbile yao.
Mi nakumbuka kuna rasta mmoja mwanae hakusoma kwa vile aliambia akate nywele ndio aanze darasa la kwanzq ,walikataa kabisa yaani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vijana wawili waliacha kibaha boys PCB, wakisema hii elimu inaukafiri,
They were more than smart guys, nataman nijue sasa wako wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duniani kote wanafikiria namna ya kuzipata rasilimal za africa, lakini waafrika wanawaza namna ya kwenda mbinguni, hapo hapo nikaachana na usabato rasmi [emoji23]
We fala umenichekesha sana 🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁Duniani kote wanafikiria namna ya kuzipata rasilimal za africa, lakini waafrika wanawaza namna ya kwenda mbinguni, hapo hapo nikaachana na usabato rasmi 😂
Umeikosa pepo.Kama huna ndevu kama mimi je?
Hizo rasilimali kwani utadumu nazo milele?Duniani kote wanafikiria namna ya kuzipata rasilimal za africa, lakini waafrika wanawaza namna ya kwenda mbinguni, hapo hapo nikaachana na usabato rasmi 😂
Jamaa huwa wanajiona wana VISA ya kwenda Mbinguni yaani. Na sisi wengine tunaonekana wa motoni daima. Waulize tu wakufafanulie hiyo 666 kwa maelezo yao inapatikana wapi ndio utasikia mapicha picha.Wasabato nakumbuka nilikuwa mwaka 2012 wakasema miaka kumi ijayo sitanunua kitu bila chapa 666 nashangaa saiv nipo 2024 sijui hao jamaa wanatuonaje
Angeomba tu uhamishoNi Kweli ali kurupuka maana hata angekataa kuzinyoa hakuna kitu angefanywa.
They were more than smart guysKuna vijana wawili waliacha kibaha boys PCB, wakisema hii elimu inaukafiri,
They were more than smart guys, nataman nijue sasa wako wapi
Umeikosa pepo.
Kuna mtoto wa mama mkubwa alimuambia mwanae asiendeleee kusoma sheria sababu ni kazi ya dhulma. Dogo akapelekwa VETA. Sasa hivi kawa mvuta bangi na kunywa pombe. Hataki kazi yoyote. Dini hizi ni noma.Kuna vijana wawili waliacha kibaha boys PCB, wakisema hii elimu inaukafiri,
They were more than smart guys, nataman nijue sasa wako wapi
Umeshasema ni suna halafu hapohapo unasema ni sheria.Inaongelea dini gani ?
Kwenye Uislamu kama ndevu unazo ni lazima kuzifuga kama huna kabisa, hii Sheria haikuhusu.
Kufuga ndevu ni Sunnah za mitume wote.
Tatizo watu wanaleta uarabu kwenye dini.umesema sunna, kivipi iwe lazima? mbona mnafanya waislam wengine waonekane kituko? ndevu sio lazima kufuga japo pia haipendezi kwa (mwanaume kunyoa kabisa pakabaki kama shavu kwa mtazamo wangu)
Huyu mwalimu ni dhaifu ndio maana kakimbia kazi. Angetakiwa apambane na huyu mwalimu mkuu kutumia sheria.Kwahiyo usecular hautaki ndevu ama? basi watunge sheria tu kuwa kufuga ndevu ni marufuku. Tz.
Mleta mada umeshindwa kumuelewe mwenye matatizo ni nani kwenye hiyo hadithi yako. Jamaa yupo sahihi 100% na hivyo ndivyo wanaume wanavyotakiwa wawe sio kuyumbishwa yumbishwa.
Yaani inaonyesha ni jinsi gani hata Quran hawaijui. Madhehebu yamekatazwa kwenye Quran lakini bado watu wanajigawanya. Ila hizi dini 2 ndio zimeleta majanga duniani.Mkuu inategema na Madhahab Gani?
Niliwahi kuwa Salafiya.na Answar pia..
Usipofuga Ndevu hata swafu ya Mbele ya Swala utaisikia tu utapelekwa safu ya Nyuma..
Na utapigwa Vijembe na kuitwa mwanamke..
Kuna hadithi Nyingi wanazo za kuhalalisha wasemacho kuwa Ni sunna Zenye Faradhi ndani..
Kama hujawahi kuwa hilo dhehabu huwezi kunielewa
Ndio uendawazimu wenyewe, alishawahi kuwaona hao malaika mpaka akajua wanakaaga huko?Samahani, kuna mtu aliniambia ndevu kw waislamu ni Sunnah, nikamuuliza kivipi? Akasema eti malaika hua wanakaa kwenye zile ndevu, hivyo ukinyoa unawafukuza...
Hii ni kweli?