Kushinda uchaguzi 2024 ANC watumie mbinu za CCM 2020

ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
Apartheid ni katazo la kikatiba. Huwezi kulirudisha kijinga.
 
Chama cha Mandela kikiashindwa nina uhakika chama cha Nyerere kitashindwa one day.
muda utasema.
Watanganyika wakimrudia Mungu, kilio chao kikisikika na wakishitakia kwa Mungu hakuna lisilo wezekana, Mungu hawezi kuachia watoto wafutiwe bima, waizi wa simu wafungwe miaka 30 na wezi wa mabilioni waendelee kuteuliwa na ..
 
Hakuna chama kilicho irudisha SA nyuma kama ANC, wakati wa utawala wa kibaguzi SA ilikuwa ni moja ya mataifa yaliyokuwa na uchumi mzuri sana duniani lkn leo SA ni kama sisi tu. Bure kabisa.
Na hayo ndio waliyoyataka wazungu baada ya ANC kushika mamlaka wazungu wakaanza kutoa mitaji yao ya Mabilioni ya dolar kuyakimbiza kusini mwa jangwa la sahara ili kupunguza uhamiaji Haramu SA, mwisho wa siku pesa ikapungua SA jobless wakaongezeka, Jifunze ya Israel na Ukraine hizi nchi kama sio Mabilioni ya Western country hizi nchi zingekuwa collapsed kiuchumi, lakini wapi, wazungu washaapa lazima Afrika iburuze mkia katika wa dunia ili wao waendelee kuishi kupitia rasilimali zetu, South Afrika wakichanganya kurudisha kaburu wameisha....kwa sasa baadhi ya waafrika kusini wameanza kuibukia kwenye utajiri , kwa kuwa mfumo unawalinda lakini akirudi kaburu hakuna mweusi atakayeibuka tajiri tena, wafanye kazi waache kupenda dezo dezo wazulu...
 
Bora Sout Africa warudishe beberu kuliko Wazawa wavivu, watumia unga na mafisadi kuliko weupe.
Zimbabwe wamefukuza Kaburu sasa hivi wako wapi?
Hata hiyo nchi uliopo ufisadi upo kiwango gamni>?
 
ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
Tatizo la Anc ni wameacha roots zao, from chama cha kumkomboa mwafrika mpaka kuwa chama cha kumdidimiza muafrika.
ANC ya akina mandela si hiki
 
Ni kweli. Na ANC ya akina Mandela haitakiwi kwa Afrika Kusini ya Leo. Bali ANC ilitakiwa ibadilike kutokana na mahitaji ya wakati.
 
ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
Cha ajabu maeneo yote yanayoongozwa na Mzungu yana maendeleo kuliko maeneo ya blacks!! Waafrika sijui tuna laana gani
 
Back
Top Bottom