Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

Punguza stress, stress ni changamoto na pia kunywa maji mengi, acha kuangalia video za porn kama bado unaangalia, punguza au acha kabisa masturbation, pia usipanie mchezo hata kama mliahidiana na mwezio kufanya game labda leo akili yako i tune kwenye mambo mengine siyo kuanzia asubuhi unawaza hii inaweza kusababisha uwahi kumaliza, mengine zaidi waone wataalamu kwa msaada zaidi
 
Sawa kaka
 
Asant k
ASant kak
 
Achana navo kwani lazima nenda kaimbe kwaya au vaa kanzu muswalie mtume! Amen. Nipe namba za shemeji hapa nimsalimie
 
Jaribu kwenda Hospital Ukaangalie Afya yako.

1. Mfumo mzima wa Mkojo..
2. Hernia.
3. Vidonda vya Tumbo.
4. Tezi Dume.
5. Sukari.
6. Maumivu ya nyonga na mgogo.

Ukifanikiwa kupima na kama bado una Tatizo utanitafuta nitakuelekeza Dawa ya kudumu.

Ukiwa na hiyo 2 & 3 basi wewe ni Gudibai Kwishnei

Jogoo hatopanda Mtungi
 
Acha kufanya mapenzi kwa miezi kama sita. Wakati huo usinywe soda wala bia wewe piga juisi ya tango na tikiti kila siku.

Kula korosho na karanga mbichi. Usile chips wala kuku broiler, kula viazi, magimbi na mihogo ya kuchemsha tu asubuhi.

Mchana piga ugali/wali wa nazi (sio za dukani) na samaki wa baharini au maji baridi au nyama choma, usiku piga maboga.

Fanya mazoezi kila asubuhi na jioni.

Usisahau kuleta mrejesho. Yaani ukikamata mtoto wa mtu hadi anakimbia na kukuachia chupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…