Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Kwa maelezo haya, yeyote atakayejidai kukusaidia atakuwa anakudanganya tu, sababu kwa maelezo haya umeshindwa kuonyesha tatizo.Hellow wanandugu jamaa.
Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
Acha masturbation kijana
Kwani amesema tatizo ni nini? Isije ikawa yupo kufanya research ya kupima uelewa wa watu kama huwa wanajibu vitu walivyoelewa au huwa wanajibu kama wasamalia wemaJaribu kwenda Hospital Ukaangalie Afya yako.
1. Mfumo mzima wa Mkojo..
2. Hernia.
3. Vidonda vya Tumbo.
4. Tezi Dume.
5. Sukari.
6. Maumivu ya nyonga na mgogo.
Ukifanikiwa kupima na kama bado una Tatizo utanitafuta nitakuelekeza Dawa ya kudumu.
Nenda kapime ivi vipimo then ulete majibuHellow wanandugu jamaa.
Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
Tatizo ni kuwahi kufika kak na kutorudia tendo niki ingiza tu na mwaga sirudii tenaKwa maelezo haya, yeyote atskayejudai kukusaidia atakuwa anakudanganya tu, sababu kwa maelezo haya umeshindwa kuonyesha tatizo.
Halafu, Kwani si huwa unafanya ili umalize? Kwani huwa kuna lengo lingine?
Jenga saikolojia yako utapiga show kabambeMsafi han shida
Umeoa ama bado unaruka rukaNawezaj kak nip mbinu ya kujenga saikologia tafadhar
Hospital Ya Kanda Ya Kati InaitwaHospital Ipo singida kaka au
Zungumza na mwenza wako, muandae vya kutosha isije kuwa unawahi kumaliza kwa kuwa unaweka pakiwa bado pakavu, kuhusu kurudia tendo jitahidi kula vizuriNime oa
Msabato safiDuh dini kak hauruusu kilevi
Punguza mkoka, na fegiMuislam pure