Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

Bro, usipaniki wala kujiona umeharibika. Hii hali inaweza kutokea kwa wanaume kwa sababu tofauti, ikiwemo stress, presha ya kutaka kufanya vizuri, uchovu, pombe, baadhi ya dawa au changamoto nyingine za kiafya.

Kwa maelezo yako, kuna vitu viwili tofauti: kumaliza haraka na kukosa hamu/uwezo wa kurudia baada ya hapo. Baada ya kumaliza, mwanaume huwa na kipindi ambacho mwili huhitaji muda kabla ya kusisimka tena, hivyo kutorudia mara moja si lazima iwe tatizo.

Kama hali ya kumaliza haraka inajirudia mara nyingi na inakusumbua wewe au mwenza wako, ni vizuri kuonana na daktari badala ya kutumia dawa za mitaani au virutubisho visivyojulikana. Pia jaribu kupunguza stress na usiweke presha kwamba lazima urudie mara mbili au tatu.

Usione aibu kutafuta ushauri wa kitaalamu. Haya ni matatizo ambayo wanaume wengi hupitia na yanaweza kuchunguzwa na kutibiwa kulingana na chanzo.
 
Utasikia wakimwambia acha nyetoo.

Mim ni muumin mda mrefu tangu na balehe ila bao la kwanza hua naenda dakika 5, 9, 15 had 20 humo.
yani bao moja mtoto wa watu hoi ata kuamka hawezi.
siku hazilingani, kikubwa maandalzi ya maana
 
Apa kati nakumbwa na wimbi kubwa san la mawaz kazin pia nyumbn ko sijui ndo sababu
jifunze kuishi bila stress, kwa kujipenda na kujua umuhim wako hapa dunian na mambo ya dunia yapo tu ukitulza hakili unayapata kirahs
 
Sijaona tatizo lolote hapo ,ni mtazamo wako tu kuhisi una tatizo.
 
Mgomba wa aina gani au mgomba wowote kisukari mzuzu ndizi bukoba au ipi
 
Mgomba wa aina gani au mgomba wowote kisukari mzuzu ndizi bukoba au
 
Duh mi kwangu nais kama tatizo maana niki ingiza na mwaga boss nacbelewa kurudia tendo
Binadamu tupo tofauti ,ukielewa mwili wa binadamu hautosumbuka.

Sensitivity ,Blood Groups .metabolic tunatofautiana so kama mandingo la kwanza anachukua dakika 45 na wewe unataka kuwa kama mandingo ,haiwezekani....Kuna mwingine ana uwezo wa kurudia baada ya dakika 5 ,mwingine 20 ,mwingine 1hr ,mwingine after 3hrs ,mwingine after 24hrs ,mwingine after 3 days etc kwahiyo usitake kwenda nje ya nature yako.

Perfomance yako ipo made kulingana na mwili wako ulivyo so ukijaribu kuongeza means unaharibu nature hatimaye ndiyo unasababisha madhara zaidi....Mwili ukiwa vizuri na mambo yanakuwa mazuri ,wewe fanya mambo ambayo yanasaidia mwili kujiweka fiti na ukiwi fiti mambo hayo pia yanakuwa fiti...kama mwili hauna energy there is no way uende kwa muda mrefu wakati brain ishadetect mwili hauna nguvu obvious utapiga dali kimok chali ili ureserve enerngy kwa mambo mengine.
 
Ipo mkoa gani? Anza mazoezi ya kukimbia jitaidi kwa siku sio chini km2 hakkikisha unavuja jasho haswa, kunywa tangawizi nyingi kila siku kwa muda utakao ona ni sahihi!! Hii ya mwisho sasa nitafute nikuongezee kitu sasa alafu utarudi kutoa mrejesho hapa
 
Nakuapataje kak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…