Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

Maandamano huzimwa na nguvu ya dola ..hii ni principle

..maandamano ya chadema yamezimwa na jeshi la polisi.

..hoja za Samia kupinga maandamano ya Chadema bila msaada wa Polisi ni zipi?

..Je, Samia anaweza kusimama yeye kama yeye akam-challenge mgombea wa upinzani na kumshinda kwa hoja? Au tutarajie ushirika wa Samia, Polisi, tume, msajili, mahakama, dhidi ya mgombea wa upinzani?
 
polisi ni sehemu ya dola!
..hayo ni mazoea mabaya ya Ccm kutegemea vyombo vya dola.

..Samia alipaswa kutoa HOJA mbadala zitakazopelekea wananchi wasiwaunge mkono maandamano ya Chadema.
Hakuna ishara za wananchi kuunga mkono maandamano ...hili ni pigo kuu kwa chadema
 
polisi ni sehemu ya dola!

Hakuna ishara za wananchi kuunga mkono maandamano ...hili ni pigo kuu kwa chadema

..zipo ishara kwamba hoja za Chadema zinaungwa mkono na wananchi.

..Ndio maana Samia akaingia uoga na kusambaza Polisi ktk miji yote mikubwa kuzuia maandamano.
 

Maandamano gani yameshindwa?
 

Si useme wewe ni ACT?
 
Samia Hana uwezo wa kushinda uchaguzi asipoiba.
 
Awaumbue hadharani hao watekaji na wauaji hakika atapanda chati sana maana atakuwa amejitenga nao.
Hiki tu, Chadema bado ipo juu kwa move yake. bado kazi ngumu ipo kwa samia. Halijaisha hili angalia chochote atakachosema sasa ndio utajua hekima ya uongozi ipo ama bora liende
 
Excellent
 
N yinyi wachumia tumbo ndio mnao muangamiza Samia bila yeye kujuwa. Mnadanganya kuwa anapendwa kumbe hata polisi wenyewe wnafanya vitu vya ovyo ili kumchafuwa. Na yeye kwa low IQ yake anaingia kwenye mitego kiurahisi sana.
 
Ukweli ni kwamba Samia amepoteza sana heshima yake na sasa yupo chini ya spotlight ya kimataifa kuhusu haki na demokrasia.
 

Watu wa Aina yako ndio mnafanya chadema waonekane wako active

Ishu kama ya jana wangeachwa Tu, wasingefanya anything bad

Hawana hao watu wa kufanya vurugu

Maandamano Yao yasingefikia hata watu 100 trust me

Sasa kujaza Askari kukamatana kwenye ndege

Kuweka attention kubwa

Ile sasa ndio inamwalibia Rais Leo

Leo vyombo vyote cha habari ni chadema na sio Ziara ya Rais Songea

International media zote ni chadema na sio serikali

Hayo mambo ndio walikuwa wanataka so mmeingia kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…