Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

Mimi hii mada hata staki kuona, serikali tunaishukuru, naa. Jeshi as well siku ilikua salama sana. Kuliko presha tulioipata...
Ila kutekwa na kuuwawa wa Tanganyika wenzetu ni mambo ya kufumbiwa macho sio, wewe na waume zako ma askari wenye ufaulu wa zero na mishahara ya single digits mnaliwa na meko.
 
Hamna anayefurahia maumivu ya mwengine zaidi ya mtu mwenye roho mbaya. Sisi wananchi wa kawaida tusiopenda ujinga wenu,

Tunategemea ziko njia sahihi za kupambana na hayo yote. Bila kuchoka, why uandamane, nauliza tena, wapi maandamano yenu yamepeleka taifa hili.

Narudia tena, Asante Jeshi la ulinzi kuzima maandamano haya. Wajipange upya tuone tunapate majibu ya haya. Siio njia zao hizi.
Ila kutekwa na kuuwawa wa Tanganyika wenzetu ni mambo ya kufumbiwa macho sio, wewe na waume zako ma askari wenye ufaulu wa zero na mishahara ya single digits mnaliwa na meko.
 
Kiukweli jana nimeshangaaa kwanini viongozi wamejitolea kwa asilimia kubwa kuja kwenye maandamano lkn wananchi wakagoma kuingia barabarani...
Polisi waliotanda kila mahali wengine wakiletwa kutoka mikoani, wakiwa wamebeba silaha, mbwa, magari ya maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, ukichanganya na mauwaji na utekaji unao endelea.

Ambapo ni wazi kabisa huu ni ugaidi dhidi ya wananchi.

Halafu unaleta ngonjera za kitoto.
 
Kiukweli jana nimeshangaaa kwanini viongozi wamejitolea kwa asilimia kubwa kuja kwenye maandamano lkn wananchi wakagoma kuingia barabarani
...
Ni aibu kwa serkali kuzuia maandamano ya amani sijui mnatetea hayo mkiwa na lengo gani?!
 
Back
Top Bottom