Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

Maandamano yamefankiwa, the whole world is aware of the dictatorial regime in Tanzania! Ulitaka nini zaidi ya hapo katika mazingira ambayo watu ni waoga, including you nd me!?

Watu tu waoga, kumbuka maandamano ya numa watu walifurika, presense ya polisi imewatisha wakatishika....... mpaka tutakapokuwa na ujasiri wa kutoogopa risasi, then we wil be there!
 

Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
Nilikwambia hakuna mtu atatokea kwenye maandamano yenu yasiyo na tija.
 
PoliCCM zaidi ya 400,000 waliandamana jana, maamdamano yamefanikiwa kwa 100% na lengo limetimia maana kila mtanzania sasa kaelewa udikteta kwa Serikali yao.
 
Falsafa ya R nne kama inalenga ndani imeangukia pua!! R nne ni Resilience, Reform, Reconciliation, na Rebuilding. Ila wajuvi wanasema hiyo falsafa imelenga nje na sio ndani!! Ingawaje yeye mwenyewe anaonesha imelenga ndani ya nchi!
 
Ule wa 2020 ni uharo sio uchaguzi ndio maana Mungu aliingilia kati na kama ccm itakaidi tena Mungu atafanya maajabu mengine
 
Kuna tofauti kubwa Kati ya kuzuiliwa na kushindwa mkuu
 
The fools had to demonstrate yesterday, yaani walioandamana wanajulikana. They're just fools.
 
Matumizi ya nguvu kupita kiasi kuzuia maandamano ya jana ni jambo ambalo limemharibia vibaya sana image Rais Samia. Kazi aliyoifanya kwa miaka mitatu hii na kumpa heshima ndani na nje ya nchi imechafuliwa na tukio la jana. Ni kipofu wa akili tu ambaye hawezi kuliona hili.
 

Attachments

  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 1
Wamejua kweli kumharibia sana
 

Maandamano yamefanikiwa sana hadi Aljazera wameripoti achilia mbali midia za ulaya.
Mpeni moyo huyo kilazeri wenu saa yaja
 
Nilikwambia hakuna mtu atatokea kwenye maandamano yenu yasiyo na tija.

..Ni kwasababu walitishwa na Polisi.

..watu wanaandamana kusindikiza wagombea kurudisha fomu, hawawezi kugomea maandamano ya jambo la msingi kama kupinga utekaji na mauaji.
 
Kiukweli jana nimeshangaa kwanini viongozi wamejitolea kwa asilimia kubwa kuja kwenye maandamano lkn wananchi wakagoma kuingia barabarani.

Hii maana yake nini? Wananchi hawataki kushirikiana tena na viongozi Wa Chadema...mfano mbowe alishikwa lisu na lema

Je, Yeriko Nyerere Malisa na Maranja Masese walienda wapi?

Na kama viongozi walishikwa kwann wananchi hawakuja front line kuendelea na maandamano na kulazimisha viongozi wao waachiliwe

Jambo hilo limewapa ushindi serikali kwamba wakiamua jambo lao wapinzani hawana uwezo wa kubisha
Nawasilisha
 
Wameshinda vp kwa mitutu ile na maskari kila kona, kauli ya mwanaume mmoja mbowe.. imewajambisha wanaume maelfu nchi nzima 😁😁😁
Mimi hii mada hata staki kuona, serikali tunaishukuru, naa. Jeshi as well siku ilikua salama sana. Kuliko presha tulioipata.

Nikujibu ndugu, mmeo mbowe , alisema wataandamana hakuna kurudi nyuma ata afe,. Unategemea askari wasiwepo, mlitaka kuuwa wananchi.

Lastly, mngetokea basi wengi kama mlivojinasibu, sasa mitutu kwanini mliogopa.

Kwetu mbowe ni hatari, yyte ambaye anngeshiriki maandamano alikua hatari kwa usalama wetu.

Asante sana polisi na jeshi la tz na serikali na wote waliohusika kulinda amani. Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…