Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Bia v/s chakula....mmesema 10 kwa bila?
Hiyo ni bia vs mshahara
Bia vs Chakula ni 20 kwa bila
Bia vs familia ni 15 kwa bila
Bia vs kula na familia ni 25 kwa bila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bia v/s chakula....mmesema 10 kwa bila?
Kula na familia tunapenda, lakini bia ni tamu kuliko familia.
Fuata matendo yetu usifuate maneno yetu.Hiyo ratiba ilikuwa ya 2010 a change has taken place.
Iga mfano kaka, any thing is possible.
Familia tunazipenda lakini bia ni tamu kuliko ubwabwa.
Hiyo ratiba ilikuwa ya 2010 a change has taken place.
Iga mfano kaka, any thing is possible.
hapo juu gy,asprin na bigirita
bia zinaweza kuwa barafu la moyo,lakini tujiulize kwa nini tusizinywe tukiwa home?....the answer can be simple hazipandi,lakini sio kweli(kupanda au kushuka kwa bia ni state of mind)
tunahitaji kula bia na valuu na konyagi outside our places kwa sababu we need connections/friends and socialization.....!
unanipa bia nakupa mchongo unazichanga unanunua plot unanipa mchongo leo mi hapohapo nakupa biya nazikamata eurooz nafanya mambo ya akili,yani hivyo hivyo
lakini wajameni:let's be fair to these women we call our wives,and to these kids we brought them to this world
HAPO JUU GY,ASPRIN NA BIGIRITA
Bia zinaweza kuwa barafu la moyo,lakini tujiulize KWA NINI TUSIZINYWE TUKIWA HOME?....the answer can be simple HAZIPANDI,LAKINI SIO KWELI(kupanda au kushuka kwa bia ni state of mind)
tunahitaji kula bia na valuu na konyagi outside our places kwa sababu we need CONNECTIONS/FRIENDS AND SOCIALIZATION.....!
unanipa bia nakupa mchongo unazichanga unanunua plot unanipa mchongo leo mi hapohapo nakupa biya nazikamata eurooz nafanya mambo ya akili,yani hivyo hivyo
LAKINI WAJAMENI:let's be fair to these women we call our wives,and to these kids we brought them to this world
no no no mkuu.....!Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!Hiyo ni bia vs mshahara
Bia vs Chakula ni 20 kwa bila
Bia vs familia ni 15 kwa bila
Bia vs kula na familia ni 25 kwa bila
Ubwabwa tunaupenda lakini bia ni dawa ya baba
Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
Unaweza kula ubwabwa na bia? yani unakula ubwabwa the you chase them pieces of fish and rice down with a cold senge.....inawezekana kweli?
Naona Kiporo cha ubwabwa samaki kimekufanya uwe na maneno mazuri sana.no no no mkuu.....!
you need time at home
trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS
Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.
Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.
Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.
no no no mkuu.....!
you need time at home
trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS
hahahahahah!Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.
Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.
Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.