Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

HAPO JUU GY,ASPRIN NA BIGIRITA

Bia zinaweza kuwa barafu la moyo,lakini tujiulize KWA NINI TUSIZINYWE TUKIWA HOME?....the answer can be simple HAZIPANDI,LAKINI SIO KWELI(kupanda au kushuka kwa bia ni state of mind)

tunahitaji kula bia na valuu na konyagi outside our places kwa sababu we need CONNECTIONS/FRIENDS AND SOCIALIZATION.....!

unanipa bia nakupa mchongo unazichanga unanunua plot unanipa mchongo leo mi hapohapo nakupa biya nazikamata eurooz nafanya mambo ya akili,yani hivyo hivyo

LAKINI WAJAMENI:let's be fair to these women we call our wives,and to these kids we brought them to this world
 
Hiyo ratiba ilikuwa ya 2010 a change has taken place.

Iga mfano kaka, any thing is possible.

Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?
 
hapo juu gy,asprin na bigirita

bia zinaweza kuwa barafu la moyo,lakini tujiulize kwa nini tusizinywe tukiwa home?....the answer can be simple hazipandi,lakini sio kweli(kupanda au kushuka kwa bia ni state of mind)

tunahitaji kula bia na valuu na konyagi outside our places kwa sababu we need connections/friends and socialization.....!

unanipa bia nakupa mchongo unazichanga unanunua plot unanipa mchongo leo mi hapohapo nakupa biya nazikamata eurooz nafanya mambo ya akili,yani hivyo hivyo

lakini wajameni:let's be fair to these women we call our wives,and to these kids we brought them to this world

endelea tu kutumia vibaya id ya watu

ugali kibua na familia tunapenda, lakini bia kitimoto jj ni barafu ya moyo
 
HAPO JUU GY,ASPRIN NA BIGIRITA

Bia zinaweza kuwa barafu la moyo,lakini tujiulize KWA NINI TUSIZINYWE TUKIWA HOME?....the answer can be simple HAZIPANDI,LAKINI SIO KWELI(kupanda au kushuka kwa bia ni state of mind)

tunahitaji kula bia na valuu na konyagi outside our places kwa sababu we need CONNECTIONS/FRIENDS AND SOCIALIZATION.....!

unanipa bia nakupa mchongo unazichanga unanunua plot unanipa mchongo leo mi hapohapo nakupa biya nazikamata eurooz nafanya mambo ya akili,yani hivyo hivyo

LAKINI WAJAMENI:let's be fair to these women we call our wives,and to these kids we brought them to this world

Unaanza kurudi kwenye sense zako sasa.

Wake zetu tunawapenda lakini bia ni dawa ya moyo
 
Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?
no no no mkuu.....!

you need time at home

trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS
 
hatujaelewana!
kama ni dawa ya moyo PEKEE,KWANIN USINYWEE NYUMBANI?
 
Hiyo ni bia vs mshahara

Bia vs Chakula ni 20 kwa bila
Bia vs familia ni 15 kwa bila
Bia vs kula na familia ni 25 kwa bila
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!

Unaweza kula ubwabwa na bia? yani unakula ubwabwa the you chase them pieces of fish and rice down with a cold senge.....inawezekana kweli?
 
Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?

Kula na familia inahusisha wali, maharagwe, kibua, samaki na vikolombwezo vyake

Ukila kongoro na waifu hiyo si kula na familia.
 
Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.

Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.

Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.
 
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!

Unaweza kula ubwabwa na bia? yani unakula ubwabwa the you chase them pieces of fish and rice down with a cold senge.....inawezekana kweli?
HAHAHAHAHAHAAAAA!
wee kijana wewe una matatizo
 
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!

Unaweza kula ubwabwa na bia? yani unakula ubwabwa the you chase them pieces of fish and rice down with a cold senge.....inawezekana kweli?

Hahahaha!

Kiongozi hapo kama si unayatafuta matapishi, basi unataka utapiamlo. Yaani ni sawa na kuchanganya mafuta na maji.
 
no no no mkuu.....!

you need time at home

trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS
Naona Kiporo cha ubwabwa samaki kimekufanya uwe na maneno mazuri sana.

Habari yake maneno bana!
 
Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.

Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.

Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.

Nyamayao leo kachukua pasiwedi ya Teamo...
 
no no no mkuu.....!

you need time at home

trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS

Kwahiyo mada ya kula home na familia imehamia kupata muda wa kuwa nyumbani?
 
Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.

Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.

Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.
hahahahahah!
kwenye hiyo statement kuna utata mkubwa sana kama ifuatavyo:

1-mimi ni SHETANI,which means ASPRIN,ST RR,BIGIRITA,GY,DA na MMU WENGINE WOTE WANAOPINGANA NA HII MAKITU NI MASHETANI..

2-kwamba mimi ni SHETANI niliezeeka na nimeandagoo mutation nimekuwa malaika

MY TAKE:mimi sio SHETANI,na viongozi wangu hapo kati HAWAWEZI KUWA MASHETANI.hapa tunabishana kwa hoja na kutofautiana misimamo tu...nakupa dakika kumi ukaisahihishe kauli yako
 
Back
Top Bottom