Wewe naona unataka kurefusha mada tu toa maelekezo unafanyaje kushtua gari ya auto bila kuchokonoa chochote, sio kulet hadith coz naona hutoi maelekezo yenye kutoa elimu cha kufanya zaid ya kusubiri watu waendelee kukubishia uwajibu, wewe kama lengo ni kutoa elimu elewesha watu nini km nafanyika kushtua gari ya auto bila kuchokonoa chochote, ila kama ili iwake lazim uchokonoe selector kwanza basi hujafanya lolote coz tayar utakuwa umetutoa kwenye uhalisia wa gari yenyewe. Wewe toa maelekezo ambayo hata mke wangu akikwama huko aweze kushtua sio hadi ichokonolewe ndio ikubali.
weka D harafu ivute Gari au isukume ukiwa umeiweka switch off baada ya kuridhika na speed weka switch ON au peleka funguo mpaka kwenye starter Gari itawaka.
kwa kuwa Gari haiwezi kupiga starter ikiwa gear IPO kwenye D .kuna aina mbili za mfumo wa ufunguaji wa pump ya MAFUTA nyingine ukiweka switch ON MAFUTA huwa yanakuja na kukata harafu yanasubilia upige starter ndio yaje tena kuwasha Gari.
na kuna mengine huwa mpaka upige starter ndio yanakuja.
ndio maana mada hii nikaileta huku sio kiubishi Bali kueleweshana kwa MTU kama mm au kwa FUNDI mwingine yeyote nikimwambia chomoa relay ya pump na uiweke direct fuel pump ni suala DOGO sana kwake harafu ndio ustue Gari itawaka HAKIKA lazima atafanikiwa tuu lakini kwa mtu wa kawaida haiwezekani hata relay 2 unaweza ukawa hujui ni kitu gani.
hiyo ndio mitego midogo ambayo wameiweka ili Gari za automatic Isiweze kustuliwa.
ndio maana nakwambia kabla ya kuanza kusukuma iweke kwenye gia kabisa.maana ukiweka kwenye neutral Gari ikisha kuwa kwenye mwendo itakurazimu ukanyage brake ndio uweke kwenye gia itasimama au kama utaforce kuweka gia bila kukanyaga brake basi unaweza Fanya uhalibifu kwenye gearbox.
mtihani wa 2 utakuja kwenye fuel pump.kama ukiweke switch on MAFUTA huwa yanakuja na kukata basi hapo Gari itawaka kirahisi sana.
lakini hata kama ni mfumo tofauti bado litawaka sababu sensor za kuwashia Gari CKP na CMP zitakapo count mzunguko na kutoa signal vitu vyote lazima vifungue fuel pump itakuwa ON na kuleta MAFUTA kwenye nozel .
signal kwenda kwenye distributor,igniter or coil spark plug zitakwenda na kutoa spark kwenye cylinder husika na bila shaka Gari lazima iwake tuu .
nazani nimesomeka mkuu.
hii maada ni nzuri kwa watu wenye uelewa kidogo au utaalam na MAGARI kwa kuwa unataka kufanya kitu ambacho in nature hakiwezekani ndio maana kuna vitu unatakiwa uvipindishe au kuvifanya ndivyo sivyo.