Kushtua gari ya automatic

Kushtua gari ya automatic

mkuu kama umenisoma vizuri kwenye hiyo post ya kuwashia Gari kwenye D na umenielewa hakika huto bisha.

kama unataka tuwekeane kidau tangaza ww tuwekeane sh ngapi ngapi?? mm nije niichezee selector kidogo harafu nakuwashia Gari kwenye D na inachapa mwendo kama kawaida .kama kutakuwa na FUNDI UMEME huko hatoweza bisha hili

Mpaka ubovue kumbe!!! Sasa ndo utakuwa unafanya nini? Basi ata namie naweza kuja kukwambia kuwa engine ikiwa ina operate naweza kukufanyia isiende mbele wala nyuma? Ukiniuliza kivipi ntakwambia na disconnect driving shaft tu.... Sasa ntakuwa naprove nini? Mpaka uchokonoe selector kumbe hapa kitu point chombo kiwe katika stock configurations.... Sio mpaka uchokonoe....
 
yap mkuu hiyo Gari nilikuwa nimeiweka direct selector ilikuwa mbovu.

converter linalokuwa kwenye gear box mkuu

Kwa hiyo ni gari mbovu tu ndio huwaka kwa mtindo huu mkuu, au ?.

Coz kama ilivyosemwa kuwa gari hutakiwa kuwaka ikiwa either N au P kama ikiwaka kwingineko hiyo gari sio nzima.

Je, kwa gari iliyo nzima itawezaje kuwaka / kushtuka ilhali ni automatic transmission ndugu ?.
 
Mpaka liwe bovu ndugu ndo litashtuka.... Likiwa zima tafuta betri kwa mtu uwashe gari lako....
 
hayo ya kuwasha Gari kwenye D ni maada ambayo imeingilia kati na mm ndio niliianzisha baada ya kuwa na mweleza MTU kitu.

nazani tujikite hasa kwenye mada yetu husika hapo juu.

Gari hata ikiwa nzima kustua unaweza kustua.ili uweze kustua Gari ni lazima tuweze pata mzunguko wa engine??sasa je wawezaje pata mzunguko wa engine?? KWA Gari ya automatic?? ndio mm nikatoa mfano rahisi kuwa chukua Gari iendeshe ikiwa speed izime KBS ikizima tembea nayo ikiwa imezima hivyo then iweke switch ON gari itawaka tena.

inamaana hapo unakuwa unastua??
 
Mpaka liwe bovu ndugu ndo litashtuka.... Likiwa zima tafuta betri kwa mtu uwashe gari lako....

nazani mkuu hiyo ya kuwasha ikiwa kwenye D hukunisoma vizuri ni point hasa ilichomoza kwa lengo lipi hasa??

labda nikuulize maswali Gari ikiwa imesimama kabisa na ukaweka D na ukaisukuma je engine itazunguka au haitazunguka??

swali la pili kama utakuwa na Gari ipo speed ipo kwenye D ukaizima ikiwa bado speed je pindi unapoizima engine huwa inasimama au huwa inaendelea kuzunguka??

kama huwa inaendelea kuzunguka je? nn huwa kinaizungusha engine wakati umeweka OFF??

kama huwa inasimama ni nn huwa kinaisimamisha engine??

ukijibu maswali hayo basi utakuwa ushajipa na jibu juu ya mada yangu??
 
Mkuu, yaonekana ulikuwa katika manual car, yaani automatic ipo katika D kisha ukiwasha iwake? Apo kidogo tuache tupumue.... Inapokuwa katika D, ufunguo mpaka uzungishe mpaka uukate basi gari haiwaki. Usitudanganye kabisaaa.

Nami ndo nashangaa kwa kweli!
 
Mm ni dereva mpya naomba kujua jinsi ya kushtua gari LA manual
 
Nami ndo nashangaa kwa kweli!

kinachokushangaza ni kipi hasa?? ungesoma comment zote hakika usingesha shangaa chochote harafu kumbuka hii sio mada kuu.

kuna MTU alikuwa anaelekezwa kitu ndio ikachomekewa na mnasahau kuwa niliwaambia kuwa selector ilikuwa mbovu ndio maana Gari ikawaka ikiwa kwenye D.

usikubali mkuu kukubali kila kitu unachoambiwa hakiwezekani?? jaribu kujiuliza kwanini hakiwezekani?? ni wapi hasa ndio wameficha siri yao ili pasiwezekane??
 
Wewe naona unataka kurefusha mada tu toa maelekezo unafanyaje kushtua gari ya auto bila kuchokonoa chochote, sio kulet hadith coz naona hutoi maelekezo yenye kutoa elimu cha kufanya zaid ya kusubiri watu waendelee kukubishia uwajibu, wewe kama lengo ni kutoa elimu elewesha watu nini km nafanyika kushtua gari ya auto bila kuchokonoa chochote, ila kama ili iwake lazim uchokonoe selector kwanza basi hujafanya lolote coz tayar utakuwa umetutoa kwenye uhalisia wa gari yenyewe. Wewe toa maelekezo ambayo hata mke wangu akikwama huko aweze kushtua sio hadi ichokonolewe ndio ikubali.
 
weka D harafu ivute Gari au isukume ukiwa umeiweka switch off baada ya kuridhika na speed weka switch ON au peleka funguo mpaka kwenye starter Gari itawaka.

kwa kuwa Gari haiwezi kupiga starter ikiwa gear IPO kwenye D .kuna aina mbili za mfumo wa ufunguaji wa pump ya MAFUTA nyingine ukiweka switch ON MAFUTA huwa yanakuja na kukata harafu yanasubilia upige starter ndio yaje tena kuwasha Gari.

na kuna mengine huwa mpaka upige starter ndio yanakuja.

ndio maana mada hii nikaileta huku sio kiubishi Bali kueleweshana kwa MTU kama mm au kwa FUNDI mwingine yeyote nikimwambia chomoa relay ya pump na uiweke direct fuel pump ni suala DOGO sana kwake harafu ndio ustue Gari itawaka HAKIKA lazima atafanikiwa tuu lakini kwa mtu wa kawaida haiwezekani hata relay 2 unaweza ukawa hujui ni kitu gani.

hiyo ndio mitego midogo ambayo wameiweka ili Gari za automatic Isiweze kustuliwa.

ndio maana nakwambia kabla ya kuanza kusukuma iweke kwenye gia kabisa.maana ukiweka kwenye neutral Gari ikisha kuwa kwenye mwendo itakurazimu ukanyage brake ndio uweke kwenye gia itasimama au kama utaforce kuweka gia bila kukanyaga brake basi unaweza Fanya uhalibifu kwenye gearbox.

mtihani wa 2 utakuja kwenye fuel pump.kama ukiweke switch on MAFUTA huwa yanakuja na kukata basi hapo Gari itawaka kirahisi sana.
lakini hata kama ni mfumo tofauti bado litawaka sababu sensor za kuwashia Gari CKP na CMP zitakapo count mzunguko na kutoa signal vitu vyote lazima vifungue fuel pump itakuwa ON na kuleta MAFUTA kwenye nozel .
signal kwenda kwenye distributor,igniter or coil spark plug zitakwenda na kutoa spark kwenye cylinder husika na bila shaka Gari lazima iwake tuu .

nazani nimesomeka mkuu.

hii maada ni nzuri kwa watu wenye uelewa kidogo au utaalam na MAGARI kwa kuwa unataka kufanya kitu ambacho in nature hakiwezekani ndio maana kuna vitu unatakiwa uvipindishe au kuvifanya ndivyo sivyo.
 
huwez kushtua gari atomatc

naomba unambie kwa nini huwezi kustua??

nipe sababu ambazo ww zinakufanya useme haiwezekani??

na mm nitajaribu kukupa zangu kuwa inawezekana
 
Mm ni dereva mpya naomba kujua jinsi ya kushtua gari LA manual

Gari ya manual ni rahisi mkuu unaweka switch ON .unaweka kabisa gear namba 2 or 3 ndio wengi huwa wanastulia gia hizo baada ya hapo unakanyaga clutch na na kama kuna watu wanakusukuma au unavutwa na Gari nyingine baada ya kuvutwa au kusukumwa mpaka kwa speed flani ambayo unaridhika nayo yakawaida tuu unaachia clutch na kukanyaga accelerater Gari itawaka.
 
Jeeeh huwezi shtua kwa revers
 
Mpaka liwe bovu ndugu ndo litashtuka.... Likiwa zima tafuta betri kwa mtu uwashe gari lako....

Kweli kabisa mkuu, kama kwa gari bovu hapo nakubaliana na LEGE lakini kwa gari zima, kiasi haiingii akilini.

Mi binafsi naomba anishushe aisee asinipeleke kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
hayo ya kuwasha Gari kwenye D ni maada ambayo imeingilia kati na mm ndio niliianzisha baada ya kuwa na mweleza MTU kitu.

nazani tujikite hasa kwenye mada yetu husika hapo juu.

Gari hata ikiwa nzima kustua unaweza kustua.ili uweze kustua Gari ni lazima tuweze pata mzunguko wa engine??sasa je wawezaje pata mzunguko wa engine?? KWA Gari ya automatic?? ndio mm nikatoa mfano rahisi kuwa chukua Gari iendeshe ikiwa speed izime KBS ikizima tembea nayo ikiwa imezima hivyo then iweke switch ON gari itawaka tena.

inamaana hapo unakuwa unastua??

Sasa ndugu, niwashe gari niwe kwenye speed kali halaf niizime kwa mantiki gani kwanza ?.

Na pia, kama gari nimeshaiwasha natembelea nayo nna haja gani tena ya kuishtua mjomba, dah.

Unajua mzungu akili zake si mbovu kuamua kufanya mambo technicalky na ikawa hivyo, tusijaribu ku-force vitu kwa kaufundi kadogo tu ulikokapata huko ulipokapata ukajiona mtaaaaalam.

Gari natembea nayo niizime ya nini sasa ?.

Na kama gari inatembea it means nimeiwasha sasa then niizime halaf niishtue ili iweje jamani, khaaaa !!.

Ni shida sana aisee.
 
mkuu kama umenisoma vizuri kwenye hiyo post ya kuwashia Gari kwenye D na umenielewa hakika huto bisha.

kama unataka tuwekeane kidau tangaza ww tuwekeane sh ngapi ngapi?? mm nije niichezee selector kidogo harafu nakuwashia Gari kwenye D na inachapa mwendo kama kawaida .kama kutakuwa na FUNDI UMEME huko hatoweza bisha hili

Hivi ni kumbe mpaka uchezee selector ndio uwashe ? Kwa hiyo kila mwenye gari automatic ni fundi umeme ??? ,,umetumia njia hii kufikisha ujumbe kuwa wewe ni fundi umeme ,tumekuelewa wenye shida watakutafuta ,binafsi gari automatic sina mzuka nayo kabisa
 
Back
Top Bottom