Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

[emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh ka mheshimiwa flani alitoa milion hamsini kasoro akaandikiwa dissertation ya PhD hafu Huwa ana jimwambafai kweli kweli.
Ukitaka upate urahisi uwe na cheo serikalini utamaliza mapema
Hao viongozi wa serikali si ndio wale juzi kati Udom imeamua kuwazawadia PhD za bure kama maandazi akina Biteko,
Hata maandishi yao hayapo.
Upumbavu mtupu

Ila Kuna watoto wa watu wanakaa darasani kusoma wanawatesa miaka minne hawajapata degree za pili.
 
Hao wa udom aisee disertation zao zilikuwa hovyo mwingine ame copy ya mwingine huko kenya ka ilivo in short ilikuwa kituko eti wamemaliza mapema wakiwa na majukumu Yao full time, huku kina kajamba nani ni mwendo wa kusumbuliwa mpaka uchakae na ka mastars Kako uchwara.
 
Hatari

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani kuwe na deadline Kwa wahadhiri na wanafunzi pia.kama mhadhiri anasimamia research apangiwe muda wa kusahihisha na kutrudisha Kwa mwanafunzi na mwanafunzi nae iwe hivyo hivyo.na wahadhiri wa repotiwe wasiporudisha Kwa wakati.wanafunzi wasingekua na malalamiko.rafiki wawili hawajamaliza mpaka leo.wamejikatia tamaa.mbona walimu wa Nje wanawekewa deadline ya kupost grade za wanafunzi wao.wahadhiri wa bongo hawawajibishwi.
 
Una kitu kinachoweza tusaidia [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh ka mheshimiwa flani alitoa milion hamsini kasoro akaandikiwa dissertation ya PhD hafu Huwa ana jimwambafai kweli kweli.
Ukitaka upate urahisi uwe na cheo serikalini utamaliza mapema
Huyo mweshimiwa yupo Gavo kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…