Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Mkuu mi naona udsm wanasimamia standard vizuri
R.i.p
prof. Y. Bwatwa, Asante Mwenyezi Mungu Kwa kunikutanisha na Huyu gwiji,
Research methodologies lazima zokukae kichwani.....

A.P.A Style LAZIMA tu 😊☺️ itakukaa kichwani prof. Y . Bwatwa hakua na masiala

Yaan,
Hakuna kudesa Kuna Ant_plagiarism software sikuizi 😊😊☺️☺️
 
Mbona hizo APA udsm wanatumia kuanzia undergraduate Tena inaanza first year, Tena hyo anti plagiarism ndio kipaumbele haswa, shida ni supervisor kuwa busy na mambo Yao na kufanya kazi za wanafunzi ka extra duty isiyo na msingi
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Mkuu komaaa tu utagraduate Hakuna kitu kisicho na mwsho.
 
Mbona hizo APA udsm wanatumia kuanzia undergraduate Tena inaanza first year, Tena hyo anti plagiarism ndio kipaumbele haswa, shida ni supervisor kuwa busy na mambo Yao na kufanya kazi za wanafunzi ka extra duty isiyo na msingi
Unajua kwanini watu wengi hawapendi na hawajui (majority) kufanya tafiti..

Kufundishwa APA ni jambo Moja kutumia ni jambo lingine...

Wengi wetu hatujui kanuni za kufanya utafiti.....Na ndio maana mtu yupo tayar kufanyiwa utafiti wake na mtu yeye akaenda ku present....
 
Kukremu anakremu wewe sio wote

Usije sema UDSM ni kukremisha,kukremisha ni ubongo binafsi wa mtu kuna wanaoelewa vizuri sana
 
Professor sio kazi yake kukufundisha jinsi ya kutumia software

Software ni TOOL na zinatoka kila siku kila developer anapojisikia

Wanadamu kila mtu ajifundishe kutumia hiyo software maana zipo nyingi ulimwenguni,ni kazi yako kujifunza wewe binafsi kama tool ya kukusaidia.Zinauzwa na makampuni binafsi ya kibiashara sio kazi ya professor kugeuka marketing executive wa hiyo kampuni,ni kazi yako wewe kuinunua na kujifunza binafsi yako kama TOOL..na zipo mamilioni!

Professor kazi yake ni kukufundisha fundamentals za concepts nzima nzima (wewe unaita theory na kukremisha)....

Yeye anakufundisha concept kukupa picha hiyo software/tool imejengwa kwa misingi ipi na imetokana na basic concept zipi underlaying mpaka ikatokea hiyo tool kiasi kwamba wewe binafsi unaweza jenga yako

Kazi ya professor ni kuweka wazi major underlaying concepts nzima nzima....

Softwares ni maandazi yapo sokoni kama maandazi mengine unaweza nunua popote

Mitoto ya siku hizi ina akili ndogo sana...UDSM haikufai
 
Utakuwa lecturer mbaya na hapa ndipo Tanzania tunapoangukia! Tunafikiri kuwa lecturer hapaswi kuwafundisha wanafunzi wake jinsi ya kutumia statistical softwares?!

Wanafunzi wanafanya practicals za statistics kivipi kama lecturer haingii lab nao na kuwaongoza? Kwanini unafikiri kazi ya lecturer ni kutoa nadharia tu? Unajua kwanini Tanzania wasomi wetu hawawezi kujiajiri na wana elimu za nadharia pekee? Ni kwasababu wanafanya kama unavyofikiri.

University of Glasgow in Scotland wana policy kwamba kila mwanafunzi ajue na atumie R statistical software katika kazi zake hasa wanafunzi wa science. Software hiyo inafundishwa kwa 90% practicals na 10% ndio theory. Huku kwetu ni kinyume. Ujinga una gharama kubwa!
 
Nimejifunza kitu hapa,

Umeeleza vyema kabisa na Mimi na cement 😊
Mfno.
Mtu anafundishwa kuvua samaki Kwa kutumia ndoano...
Kwa theory...
Mwalimu; Hii ndio ndoano anawaonyesha wanafunzi wake......Ina pini na boya na kamba.

Mwalimu; ndoano inawekewa chambo (mnyoo)

Mwalimu; Inatoswa kwenye maji inaweza kua bwawa,ziwa, bahari,mto N.k

Mwalimu; ukiona boya linacheza cheza jua umekamata windo lako...........

All in all,
Kufundishwa Kwa namna hii nadharia (theory)
Na Kuna watu wenyewe wanaenda kabisa na vifaa (practical)
Lazima wanao fanya mafunzo Kwa vitendo....
"LEARNING WITHOUT IMPLEMENTATION IS PURE WASTE"
 
Ni complication tu za vyuoni huku makazini study zinafanyika in simple way na kuja na solution na mambo yanaenda huko wako busy na kothari sijui ni kitu Gani kuzunguka zunguka
 
Kupinga ndio kazi yangu

Wewe unataka mpite tu kiulaini...ni lazima tufanye heavy scrutiny!
Nani kasema tupite kiurahisi hujaona hoja nyingine zakubadilisha na za msingi ni mjinga tu anayefikiri kuweka ugumu wa mambo au huduma ndio ubora kumbe ni ujinga na kukosa problem solving skills ambayo watanzania 98% hawana wanaamini kusumbua watu ndio ubora wa mambo, hovyo kabisa.
 
Ni complication tu za vyuoni huku makazini study zinafanyika in simple way na kuja na solution na mambo yanaenda huko wako busy na kothari sijui ni kitu Gani kuzunguka zunguka
Research Methodology: Methods and Techniques
Book by C. R. Kothari

Huyu kothari ndio wanazuoni wengi humu quote...
Nakumfanyia citation πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
[emoji28][emoji28][emoji28] ndio huyo Kila corner kothari anapendwa kweli
 
Ma lecturer wengi wenye exposure na walio soma mbele (Abroad)....

Hupenda Kila mwanafunzi wake afaulu ndio hujivunia ila huku third world countries... Lecturer anatamani awakamate SUP na DISCO ndio ajione mwanazuoni......
 
Shida ndio hii

Utafiti unaonesha wanaopata marks ndogo masomoni ndio wanaongoza kulalamikia mifumo ya elimu

Sisi ambao masomo yanayotushinda ndio hua tunakuja hapa kulalamika kama hivi

No matter what is done to accomodate wenye akili ndogo ambao infact ndio majority ya jamii hawataacha kulalamika

Haya tufanye walale nyumbani siku ya graduation waende kupewa degrees zao,still watalalamika on something!

Tufanyeje sasa kama nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…