Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kwani elimu kubwa sana ina umuhimu kufika ngazi hizo? Taasisi au kampuni zote duniani zinazofanya vizuri vyeti vyako watu wataviangalia ngazi ya entry level ila kuanzia hapo hamna atayetaka kujua umesoma mpaka ngazi ipi. Kitu cha muhimu watu watataka waone kazi ulizowahi kufanya na sio elimu yako.

Unafikiri kampuni kama Benz au Apple wakitaka chief designer watataka kujua umesoma mpaka Master's /Ph.D? Wao kitu cha msingi ni kazi zipi umewahi kufanya. Hata hapa hapa bongo maeneo wanayojielewa elimu sio hoja. Vodacom waliwahi kuwa na CEO mwenye umri chini ya miaka 30 na alikuwa na shahada moja tu. Baada ya yeye kuondoka walikosa mtu hapa wakatafuta kutoka nje.
Tunaishi Tanzania na sio huko kwenye kampuni za Benz na Apple,na tunaishi kulingana na mazingira yanavyituhitaji.Kama wewe ni majiriwa na takwa kuwa na degree ya pili basi lazima utafanya hivyo vilvile kama umejiriwa private basi kuna ushindani na sofa za ziada zitakuwezesha kukabiliana na ushindani wowote utakaojitokeza.
 
Sasa kumezesha watu hizo referencing styles sijui APA, sijui Vancouver, na yenyewe ni ishu ya kujivunia? Hizo makitu unaingiza tu details za unachotaka kureference kwenye software (eg Mendley, Zotero, etc), una select referencing style unayotaka kama ni APA, kama ni Harvard, whatever you want, inakuchapia reference hapo fasta.
Sawa Dr wansegamila🤓🤓🤓🤓
 
Hapana hii sio hoja kama issue ni wingi wa wanafunzi wa masters na PhD,ni issue ambayo ipo ndani ya management ya chuo maana wanaweza wakapunguza udahili wa wanafunzi uendane na idadi ya Walimu.
1.Mimi nimefatilia sana hivizuri ,kitu nimegundua ni kuwa Wahadhiri wa UDSM 95% hawapo responsible katika kazi zao na hiyo imetokana na mazoea waliyojiwekea huko miaka ya nyuma kuwa sio lazima watu wamalize kwa wakati-kiufupi wanafanya kazi kama ambavyo Watumishi wa Umma wengi wanafanya katika Taasisi mbalimbali za Serikali.
2.% kubwa Wanafunzi wanajihangaikia wenyewe ndio maana ukiwa haupo vizuri au kama umezoe spoon feeding UDSM utaumia sana.
3.Management ni mbovu sana kuanzia wahusika wanaotakiwa wasimamie chuo mpaka kwa vice chancellor.
Mkuu karibu vyuo vyote vya uma Tanzania waalimu wameelemewa na wanafunzi kuanzia undergraduate mpk postgraduate.
Idadi ya wanafunzi imeongezeka maradufu waakti hawajaanda walimu wa kutosha. Kuhusu kupunguza udahili management haiwezi kubali sababu ya uroho wa hela za ada kumbuka OC siku hizi hawapewi..
Wanafunzi wanajipambania kwa kweli japo mazingira si mabaya sana ukilinganisha na nchi nyingine ambazo unapambania thesis yako pamoja na kazi kibao za supervisor.
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Mimi niligundua hilo mapema nikakimbilia SUA mkuu. Pale UDSM kuna wahadhiri vilaza na conservatives sijawahi kuona hapa ulimwenguni.
 
Mimi niligundua hilo mapema nikakimbilia SUA mkuu. Pale UDSM kuna wahadhiri vilaza na conservatives sijawahi kuona hapa ulimwenguni.
Elimu ya bongo ngumu Sana, tunazalisha wasomi wajinga wengi, kwa ninachokiona kinaendelea huko mahakama ya usuruhishi wa migogoro, ni aibu, mawakili wetu wanauliza maswali kama vile wamefumaniwa, mbele ya ngozi nyeupe, wamekuwa wanyonge kama mbwa mbele ya chatu,
Mashahidi wanashindwa hata kujibu maswali madogo kabisa,lugha haipandi,
Watu wapo wizarani, lakini hawajuhi hata sheria na taratibu zinazoongoza wizara zao,
Prof Mruma, ndio alitumika kama dekio pale mahakamani,ameulizwa maswali anajibu kama mtoto wa kindergarten!
Zee zima linalia lia
 
Masters gani mtu Akisoma udsm anamaliza
Kati ya hizi faculties business na social study
 
Taasisi za elimu za Tanzania katika uendeshaji wake wa kitaaluma huwa zinaamini katika kumbana mwanafunzi na kumdhibiti asionyeshe uwezo wake personally ambao anao katika hiyo principle anayosomea.

Mfano uongeze findings zako utashangaa mwalimu anakuwekea bifu kwamba unajifanya unajua sana.

Matokeo yake tunauwa ile dhamira ya vijana kujifunza na kubakia kuwa watwana na maketeka wa mfumo ambao hata wakimaliza 90% ya contents ni inapplicable kwenye market.

Hebu leo tafuta wahitimu wa degree wa vyuo tofuti wakuonyeshe wanachoweza fanya ambacho wamejifunzia chuoni utagundua wengi wao wanaishi kwa kanuni za mtaa na wana apply kidogo sana vile darasani.
Nakubali[emoji817]
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Duh!...unatutisha mkuu
 
Hapana hii sio hoja kama issue ni wingi wa wanafunzi wa masters na PhD,ni issue ambayo ipo ndani ya management ya chuo maana wanaweza wakapunguza udahili wa wanafunzi uendane na idadi ya Walimu.
1.Mimi nimefatilia sana hivizuri ,kitu nimegundua ni kuwa Wahadhiri wa UDSM 95% hawapo responsible katika kazi zao na hiyo imetokana na mazoea waliyojiwekea huko miaka ya nyuma kuwa sio lazima watu wamalize kwa wakati-kiufupi wanafanya kazi kama ambavyo Watumishi wa Umma wengi wanafanya katika Taasisi mbalimbali za Serikali.
2.% kubwa Wanafunzi wanajihangaikia wenyewe ndio maana ukiwa haupo vizuri au kama umezoe spoon feeding UDSM utaumia sana.
3.Management ni mbovu sana kuanzia wahusika wanaotakiwa wasimamie chuo mpaka kwa vice chancellor.

Hatari sana bora kuomba kusoma ulaya tu
 
Tatizo letu watanzania Kila mtu anajua Kila kitu. Watanzania inabidi tujifunze kuheshimu kazi za kitaalamu. Mkuu unataka Prof. asikufundushe theory za research bali akufundishe softwares kama hiyo software ndio inayofanya research!!!!
Hivi ukienda field ukatumia hiyo software kwenye data analysis ikakupa r=0.5 utafanya nini? Unataka ufundishwe software atafundisha ngapi sababu karibu Kila mtu atatumia software tofauti na mwingine kuanzia kwenye kudesign study na kufanya data analysis.
Halafu pia software zinakuja mpya Kila siku je ukihitimu nani atakufundisha software mpya huko makazini?
Software zinakuja na user manual na Kuna video kibao you tube kwa Kila software unaweza kuangalia ukajifunza ina haja gani kufundisha?
Assumption ni kwamba ukienda field utakuta watu kwenye research group watakufundisha kwa hiyo si kitu kigumu sana kama unajua kufanya research.
Pia software nyingi zina customer contacts email yaani ukiandika tu hapo hapo mtu anakujibu kukusaidia mpk kukusaidia kurepair software yako Kama haifanyi kazi vizuri. Sasa hapo Kuna haja ya kufundisha software badala ya kufundisha namna ya kufanya research?
Halafu kwa Sasa Kuna vyuo vingi kwa nini unakomaa udsm wabadili standards zao na usiende kwenye vyuo ambavyo vina standard unayoitaka?

Duuuuuuu
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Mama Abdul alipewa Phd hapo niliwashangaa sana.
 
Back
Top Bottom