Scheme ya Serikali sidhan kama inaruhusu mtu kuwa MD,DG, CEO wa Sehemu flani hali ya kuwa hauna MASTERS.
Labda kama alipewaSijajua kwa waliosoma miaka ya zamani ila wasomi wa miaka ya hivi karibuni wana database yao ya Alumni (sijajua ilianza lini lakini kipindi nahitimu chuo hapo UD wakati nafanya clearance niliambiwa moja ua sharti ni kujisajili kwenye mfumo wa Alumni)
na nina hakika tangu nihitimu kuna maelfu na maelfu wamekuja baada yangu na wamejisajili, hivyo database ipo.
Shida vyuo vyetu havina mahusiano mazuri na wanafunzi wao.
Huwezi mchangisha mtu pesa yake huku huna urafiki nae.
Hizo havards zinapata funds kwa kuchangisha alumni wao sababu zina mahusiano nao mazuri kipindi wakiwa chuoni mpaka wanapomaliza