YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Sahihi labda awe alibebwaKuwa Afisa Mkuu tu wa taasisi (Principal Level) ni lazima uwe na MASTERS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi labda awe alibebwaKuwa Afisa Mkuu tu wa taasisi (Principal Level) ni lazima uwe na MASTERS
Vyetii feki ujue mlisumbua wakunga wenye vyeti kuwafunza yale mliyokwepa darasaniWenyewe mlisema sisi manesi na wakunga twenye uzoedu wa miaka zaidi ya 15 tuna vyeti feki na tulishazoea kazi zetu kiasi tunaweza kumzalisha mtu kwa miguu bila kutumia mikono huku tuko instagrammar hatufai acheni tuu vyeti vitumike msituumize zaidi tafadhari
Nilitegemea watu kama nyie huwa hamkosekana kupinga kila jambo. Sasa mtu kama Nehemia anayekuzidi kila kitu aji console kwa maana hana fedha za kusomea masters? Hata kama sio UDSM anashindwa kwenda Ulaya?Anaji console bure tu.
Naunga mkono hojaKatika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.
Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala la Vyuo Vikuu kutokuwa na fedha (kulia ukata) hasa vile vikongwe kama UDSM, IFM na Mzumbe wakati wana wanafunzi wengi waliowafundisha na wapo kwenye taasisi mbalimbali ambao wanaweza kusaidia kuidhinisha fedha zitakazowasaidia kwenye masuala yao kupitia CSR etc.
Akachagiza kuwa atafanya kikao na VCs ( makamu wakuu wa vyuo) ili kujadiliana kuhusu issue tofauti ila hana mpango wa kurudi darasani kuchukua degree nyingine wasije wakamkamata bure (kupata Supplementary n.k) hii moja aliyonayo inamtosha.
Ukiangalia kwa namna historia yake ya ufanyaji kazi na wasifu alionao sasa, unaona kabisa kuwa na ma-degree mengi sio sababu ya kuwa mtendaji mzuri au mwenye sifa ya kuongoza taasisi nyeti, unaweza ukawa na degree moja na bado ukaongoza taasisi nzito na nyeti na bado ukafanya vizuri, uwezo ukiongeza na uzoefu unatosha kabisa kufanya jambo.
Anyway ni hilo tu tuendelee kupambana na kulijenga Taifa letu.
🤣🤣Mkuu hapanaNaunga mkono hoja
tena wengi wa wenye PASS wanafanya vizuri kuliko 1st class holders!.
P
Mimi nina diploma lakini boss wangu alikuwa na certificate tu ya pale IFM. Unajua nini, boss wangu alikuwa zinga la intelligent person (IQ) kubwa picha ya kwamba nilimzidi elimu and he was my agemate.Wa vivu ni wengi zaidi, mchukue mtu mwenye diploma muweke na mwenye degree uone kama wanaweza fanya kazi sawa
Mkuu, ni kijana yupi ambaye hajakata tamaa ya kuendelea na mfumo wa elimu wa Tanzania mpaka akatishwe tamaa na ndugu Mchechu? Katika nchi ambayo unashindwa kutofautisha form 4 failure na graduate kwa maana wote wanaendesha bodaboda, kunahotaji moyo mgumu sana kuendelea kujiita mtanzania.All in all, hakupaswa kusema kuwa hiyo degree moja aliyo nayo inamtosha; huwezi kujitathmini mwenyewe, watu wanaokuangalia/kukusikiliza ndio waseme kiwango ulicho nacho kinatosha. Zaidi ya hapo, kauli kama hizo zinaweza kuleta madhara kwa jamii, ikiwemo kukatisha tamaa kwa vijana kuendelea na elimu, kwani anayetoa kauli ni mtu mkubwa na anaeshimika na anachukuliwa kama kioo katika jamii!
Vijana waache kuvunjwa moyo na wanasiasa wa chama chenu waje kuvunjwa na genius Mchechu?? Ni kijana yupi yupo tayari kujiendeleza kielimu ili mwisho wa siku aishie kuwa dereva wa bodaboda??kweli hakupaswa kusema Ivo....anatuvunja moyo vijana tunaojiendeleza kielimu.
Sijui kwanini watu wana vita kubwa sana na watu walioenda shule kusoma wakatapata vyetiKatika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.
Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala la Vyuo Vikuu kutokuwa na fedha (kulia ukata) hasa vile vikongwe kama UDSM, IFM na Mzumbe wakati wana wanafunzi wengi waliowafundisha na wapo kwenye taasisi mbalimbali ambao wanaweza kusaidia kuidhinisha fedha zitakazowasaidia kwenye masuala yao kupitia CSR etc.
Akachagiza kuwa atafanya kikao na VCs ( makamu wakuu wa vyuo) ili kujadiliana kuhusu issue tofauti ila hana mpango wa kurudi darasani kuchukua degree nyingine wasije wakamkamata bure (kupata Supplementary n.k) hii moja aliyonayo inamtosha.
Ukiangalia kwa namna historia yake ya ufanyaji kazi na wasifu alionao sasa, unaona kabisa kuwa na ma-degree mengi sio sababu ya kuwa mtendaji mzuri au mwenye sifa ya kuongoza taasisi nyeti, unaweza ukawa na degree moja na bado ukaongoza taasisi nzito na nyeti na bado ukafanya vizuri, uwezo ukiongeza na uzoefu unatosha kabisa kufanya jambo.
Anyway ni hilo tu tuendelee kupambana na kulijenga Taifa letu.
Ana mradi wake uko mbezi beach jina kapuni,unaenda kwa faida [emoji1]Kuna mradi wowote aliowahi kuuanzisha unaenda kwa faida?
Ngoja wazee wa zengwe wajeHata GENTAMYCINE nae ana Degree Moja tu ya Mawasiliano ya Umma na Uandishi wa Habari ( SAUT Mwanza 2006 - 2009 niliyotunukiwa na Genius Vice Chancellor wangu wakati huo Padre Dk. Charles Kitima Katibu Mkuu wa TEC )na sina mpango wa sijui Masters au Doctorate, ila nashangaa nakubalika na naogopwa kwa Madini yaliyoko Mtimani ( Kichwani ) mwangu huku Wengine wakiniita Profesa na Daktari wa Falsafa.
Nimeona huu muongozo umetolewa nadhani Mwaka Juzi.Kuwa Afisa Mkuu tu wa taasisi (Principal Level) ni lazima uwe na MASTERS
Ila kua Mbunge ni ujue kusoma na kuandika tu hata km umeishia darasa la Pili au sio?Kuwa Afisa Mkuu tu wa taasisi (Principal Level) ni lazima uwe na MASTERS
[emoji23]Sijui kwanini watu wana vita kubwa sana na watu walioenda shule kusoma wakatapata vyeti
Sijui kwanini vita ni kubwa hivi
Ukiangalia waliosoma hawanaga tatizo na mtu
Probability ya kupata mtu kama Mchechu ni 1 on every 60mil people of this country.
Tatizo mnachukulia exception mnataka kuifanya ndio rule,what a bunch of dummies!
Una watu milioni 60,unataka madaktari wa kupasua watu,unataka mafundi wa engines,mabarabara,maofisa wa kusaidia jamii,marubani,etc halafu utegemee usisomeshe hao watu eti utegemee watu wote wawe na bongo kama ya Mchechu wafanye tu operation wanadamu wenzio sababu eti wana "akili za kuzaliwa"?
Upumbavu ulioje!
Mchechu ni 1% ya watu milioni 60,huwezi tegemea wanadamu milioni 60 wawe kama Mchechu,ndio maana ni lazima wasomeshwe walao wasaidie jamii kiasi watakachoweza
Mchechu this Mchechu that,he is a genius then what?That does not make the rest of 60mil Tanzanians are dumb!
Waraka makanisani na vigangoniSubiri kwanza, tuko busy na Waraka wa TEC!
Vijana waache kuvunjwa moyo na wanasiasa wa chama chenu waje kuvunjwa na genius Mchechu?? Ni kijana yupi yupo tayari kujiendeleza kielimu ili mwisho wa siku aishie kuwa dereva wa bodaboda?
Tunaongelea masters mkuu....ukiona mtu anaenda kujiendeleza na elimu ya masters tayari yupo kwenye ajira anachofanya ni kujiendeleza Ili aweze kuongeza performance.Vijana waache kuvunjwa moyo na wanasiasa wa chama chenu waje kuvunjwa na genius Mchechu?? Ni kijana yupi yupo tayari kujiendeleza kielimu ili mwisho wa siku aishie kuwa dereva wa bodaboda??