Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.

Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala la Vyuo Vikuu kutokuwa na fedha (kulia ukata) hasa vile vikongwe kama UDSM, IFM na Mzumbe wakati wana wanafunzi wengi waliowafundisha na wapo kwenye taasisi mbalimbali ambao wanaweza kusaidia kuidhinisha fedha zitakazowasaidia kwenye masuala yao kupitia CSR etc.

Akachagiza kuwa atafanya kikao na VCs ( makamu wakuu wa vyuo) ili kujadiliana kuhusu issue tofauti ila hana mpango wa kurudi darasani kuchukua degree nyingine wasije wakamkamata bure (kupata Supplementary n.k) hii moja aliyonayo inamtosha.

Ukiangalia kwa namna historia yake ya ufanyaji kazi na wasifu alionao sasa, unaona kabisa kuwa na ma-degree mengi sio sababu ya kuwa mtendaji mzuri au mwenye sifa ya kuongoza taasisi nyeti, unaweza ukawa na degree moja na bado ukaongoza taasisi nzito na nyeti na bado ukafanya vizuri, uwezo ukiongeza na uzoefu unatosha kabisa kufanya jambo.

Anyway ni hilo tu tuendelee kupambana na kulijenga Taifa letu.
ni kweli kabisa. Kwa mfano hata wazungu wengi wanaokuja africa wanaendesha makampuni makubwa, wengi wao wana high school diploma na college diploma tu. hizo degree wala hawana.

Ukitaka kujua kuwa kusoma sana si kuwa mtendaji mzuri, angalia mradi wa mabasi ya mwendo kasi. Huko ofisini kwao kumejaa watu wana phd na masters kibao, lakini check kinachotokea field, aibu tupu.
 
Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.

Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala la Vyuo Vikuu kutokuwa na fedha (kulia ukata) hasa vile vikongwe kama UDSM, IFM na Mzumbe wakati wana wanafunzi wengi waliowafundisha na wapo kwenye taasisi mbalimbali ambao wanaweza kusaidia kuidhinisha fedha zitakazowasaidia kwenye masuala yao kupitia CSR etc.

Akachagiza kuwa atafanya kikao na VCs ( makamu wakuu wa vyuo) ili kujadiliana kuhusu issue tofauti ila hana mpango wa kurudi darasani kuchukua degree nyingine wasije wakamkamata bure (kupata Supplementary n.k) hii moja aliyonayo inamtosha.

Ukiangalia kwa namna historia yake ya ufanyaji kazi na wasifu alionao sasa, unaona kabisa kuwa na ma-degree mengi sio sababu ya kuwa mtendaji mzuri au mwenye sifa ya kuongoza taasisi nyeti, unaweza ukawa na degree moja na bado ukaongoza taasisi nzito na nyeti na bado ukafanya vizuri, uwezo ukiongeza na uzoefu unatosha kabisa kufanya jambo.

Anyway ni hilo tu tuendelee kupambana na kulijenga Taifa letu.
Nilitegemea aibane serkali itoe fungu zaidi kuimarisha ubora wa elimu na utafiti wenye tija kwenye vyuo. CSR ni hiyari. Anapendekeza wanafunzi wasaidie vyuo hii sidhani kama itakuwa rahisi maana hakuna kitakachowamotivate alumni wa kibongo kuchangia hivyo vyuo.

Kuna kazi ukiwa na degree moja+uzoefu wa kutosha+short courses na ukiwa kweli umepractice hiyo kazi unaweza kuwa professional mzuri tu. Ila kuna zingine zinahitaji degree ya pili na kuendelea maana zinahitaji uwe na maarifa zaidi mfano wahadhiri wa vyuo madaktari bingwa n.k.

Lakini pia kuna watu huwa ni exceptional wao hujifunza yaleyale ya vyuoni lakini wakiwa kazini mfano marehemu CEO wa safaricom Kenya Robert Collymore hakuwa na elimu ya Degree wala Masters lakini alikuwa nguli kwenye tasnia ya manaement. Kuna mbongo mmoja ana asili ya kiasia jina lake linafanana na Nisram Vislan hana masters nadhan hata bachelor hana yule but ni mwandishi mzuri sana wa makala mbalimbali za kiingereza kwenye magazeti kadha wa kadha.

Mara nyingi kuwa na degree ya pili na kadhalika huwa ni kujitofautisha na wengine job seekers wengine sokon pamoja na kufuata vigezo vya ajira ili mtu upate ajira. Kwa mfano ili kuwa professional mzuri kwenye marketing, HR si lazima uwe na masters but mtu unalzimika kuwa na masters maana ndo soko linataka hivyo.

Yote yote kwa yote elimu bado ni muhimu sana kwa apataye nafasi ya kupata elimu aitumie maadamu inaleta faida kwenye maisha yake. Kingine ni elimu ambayo haizalishi chochote haina maana!
 
ni kweli kabisa. Kwa mfano hata wazungu wengi wanaokuja africa wanaendesha makampuni makubwa, wengi wao wana high scholl diploma na college diploma tu. hizo degree wala hawana.

Ukitaka kujua kuwa kusoma sana si kuwa mtendaji mzuri, angalia mradi wa mabasi ya mwendo kasi. Huko ofisini kwao kumejaa watu wana phd na masters kibao, lakini check kinachotokea field, aibu tupu.
Mkuu, ni nani alishauri garage kuu ya DART iwe pale mtaa wa Jangwani ilhali panajulikana kama ni eneo korofi wakati wa mafuriko??
 
Scheme ya Serikali sidhan kama inaruhusu mtu kuwa MD,DG, CEO wa Sehemu flani hali ya kuwa hauna MASTERS.
Labda kama alipewa favor..
Ndiyo hivyo tena,ameshakuwa DG.tena siyo sehemu moja.taasisi kubwa kubwa za serikali na private(bank)

So hao maprofessor wa vyuo wasije kutanguliza shule zao hapo.wapeleke hoja halisi sababu Nehemia anaijua vizuri sana kazi anayoifanya.
 
Na mimi naliona hili, shule kubwa inakupa confidence.....wewe na ka bachelor kako umekaa na mijamaa ina PhD lazima ujione panzi tu.
Ukiona mtu anataja elimu yake, ujue ana inferiority complex. Huyo kusema ana kadegrii kamoja anaji console. Hata huyu Ramon Sanchez naona hana shule ni wale wale. Shule ndiyo mpango mzima!
 
Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.

Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala la Vyuo Vikuu kutokuwa na fedha (kulia ukata) hasa vile vikongwe kama UDSM, IFM na Mzumbe wakati wana wanafunzi wengi waliowafundisha na wapo kwenye taasisi mbalimbali ambao wanaweza kusaidia kuidhinisha fedha zitakazowasaidia kwenye masuala yao kupitia CSR etc.

Akachagiza kuwa atafanya kikao na VCs ( makamu wakuu wa vyuo) ili kujadiliana kuhusu issue tofauti ila hana mpango wa kurudi darasani kuchukua degree nyingine wasije wakamkamata bure (kupata Supplementary n.k) hii moja aliyonayo inamtosha.

Ukiangalia kwa namna historia yake ya ufanyaji kazi na wasifu alionao sasa, unaona kabisa kuwa na ma-degree mengi sio sababu ya kuwa mtendaji mzuri au mwenye sifa ya kuongoza taasisi nyeti, unaweza ukawa na degree moja na bado ukaongoza taasisi nzito na nyeti na bado ukafanya vizuri, uwezo ukiongeza na uzoefu unatosha kabisa kufanya jambo.

Anyway ni hilo tu tuendelee kupambana na kulijenga Taifa letu.
Hivi yeye anafikiri ana performance nzuri? Bora angezungumzia msimamo kiitikadi ningemuelewa. Binafsi nafikiri ubabaishaji na ubinafsi ni tatizo kubwa. Majukumu aliyopewa ilibidi awe japo na shahada ya master degree. Tunaona hapa anavyotuchanganya kwa kutaka tuamini kila shirika au taasisi ya umma jukumu la kwanza ni kuingiza fedha.
 
kinadharia ndiyo kiuhalisia siyo. Kujua unachofanya ndicho kinakupa confidence.
hiyo confidence labda bar tu na vyuoni si field.
Una uhakika na unachosema ....achana na masters za kupeana.Tunaongelea masters ya kukaa course work mwaka darasani na baada ya hapo unafanya disertation, unapresent proposal unakutana na pannel inakurudisha mara mbili au tatu kabla ya kuruhusiwa data collection. Unapoenda kupresent finding bado unarudishwa si chini ya mara mbili.Badala la kumalizia miaka miwili unafanya masters miaka mitatu.......huwezi kubaki vilevile ndugu.
 
Back
Top Bottom