Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

Nakubaliana na wewe kabisa.
Watu wafupi hupenda kujiconsole ati urefu kitu gani! (Mimi ni mfupi pia ukumbuke). Msukuma ati darasa la saba! Imagine mtu kwa vile alikuwa kilaza ame fluke tu katika maisha, anaona usomi hauna maana. Ukimchunguza sana unaona mapungufu ya kiusomi yapo.

Usomi ni pyramid kama umri ulivyo katika demografia. Kadri shule inavyopanda na idadi ya watu inapungua. Haiwezekani wote tukawa na PhD. Ni sawa na umri wa binadamu. Watoto wanaozaliwa ni wengi kulingana na watoto wenye miaka 5, ukifika miaka 100 survivors wanabaki wachache sana.

Bora kukubalia na ukweli kama sie wafupi tunakubaliana na ufupi wetu maana hakuna jinsi ingawa tungekuwa warefu tunge enjoy.
 
Una uhakika na unachosema ....achana na masters za kupeana.Tunaongelea masters ya kukaa course work mwaka darasani na baada ya hapo unafanya disertation, unapresent proposal unakutana na pannel inakurudisha mara mbili au tatu kabla ya kuruhusiwa data collection. Unapoenda kupresent finding bado unarudishwa si chini ya mara mbili.Badala la kumalizia miaka miwili unafanya masters miaka mitatu.......huwezi kubaki vilevile ndugu.
za kupeana ni za akina nani, zinapatikana wapi
 
Sijui kwanini watu wana vita kubwa sana na watu walioenda shule kusoma wakatapata vyeti

Sijui kwanini vita ni kubwa hivi

Ukiangalia waliosoma hawanaga tatizo na mtu

Probability ya kupata mtu kama Mchechu ni 1 on every 60mil people of this country.

Tatizo mnachukulia exception mnataka kuifanya ndio rule,what a bunch of dummies!

Una watu milioni 60,unataka madaktari wa kupasua watu,unataka mafundi wa engines,mabarabara,maofisa wa kusaidia jamii,marubani,etc halafu utegemee usisomeshe hao watu eti utegemee watu wote wawe na bongo kama ya Mchechu wafanye tu operation wanadamu wenzio sababu eti wana "akili za kuzaliwa"?

Upumbavu ulioje!

Mchechu ni 1% ya watu milioni 60,huwezi tegemea wanadamu milioni 60 wawe kama Mchechu,ndio maana ni lazima wasomeshwe walao wasaidie jamii kiasi watakachoweza

Mchechu this Mchechu that,he is a genius then what?That does not make the rest of 60mil Tanzanians are dumb!
umeuapproach huu uzi tayari ukiwa na jusyifications zako tayari, na ndio maana umekuwa negative moja kwa moja ilhali ukiiangalia haikuwa na lengo la kumtofautisha na wengine, bali kuwa mfano wa wengi kama yeye ambao kwa sasa bado hawaaminiwi au wanasita kuaminiwa kutokana na kiwango chao cha elimu

na ndio inakuja dhima kamili ya uzi huu, je degree zaidi ya moja ni kigezo pekee kama sio kikuu cha kuaminiwa katika nafasi nyeti???

hasa nikijaribu kuoanisha perfomance na qualifications
 
Kwa aina ya elimu ya Tanzania hata certificate(miezi 9) inatosha kabisa kuongoza idara/taasisi na hata nchi, ni elimu ya kijinga sn kukaririshana tu wala hakuna ujuzi wowote, masters na PhDs za Tanzania hazina lolote, zaidi ya sifa za kijinga mtaani, MO, GSM, Hersi, Rostam wote wana bachelors lakini wanafanya vizuri sn kwenye biashara zao mpk Ramaphosa kaamua MO awe mshauri wake wa uchumi.
Hivi MO si ana masters kasoma US?
 
Nawakumbusha tu wakati Nehemia Mchechu anateuliwa na Rais Kikwete kuongoza NHC Serikali ikitukanwa sana wakati huo Waziri mwenye dhamana alikuwa Kapteni John Chiligati alijaribu sana kutoa ufafanuzi lakini 'Makamanda' hawakuelewa
 
Kwa aina ya elimu ya Tanzania hata certificate(miezi 9) inatosha kabisa kuongoza idara/taasisi na hata nchi, ni elimu ya kijinga sn kukaririshana tu wala hakuna ujuzi wowote, masters na PhDs za Tanzania hazina lolote, zaidi ya sifa za kijinga mtaani, MO, GSM, Hersi, Rostam wote wana bachelors lakini wanafanya vizuri sn kwenye biashara zao mpk Ramaphosa kaamua MO awe mshauri wake wa uchumi.
MO ana masters ya business administration
 
Back
Top Bottom