Sijui kwanini watu wana vita kubwa sana na watu walioenda shule kusoma wakatapata vyeti
Sijui kwanini vita ni kubwa hivi
Ukiangalia waliosoma hawanaga tatizo na mtu
Probability ya kupata mtu kama Mchechu ni 1 on every 60mil people of this country.
Tatizo mnachukulia exception mnataka kuifanya ndio rule,what a bunch of dummies!
Una watu milioni 60,unataka madaktari wa kupasua watu,unataka mafundi wa engines,mabarabara,maofisa wa kusaidia jamii,marubani,etc halafu utegemee usisomeshe hao watu eti utegemee watu wote wawe na bongo kama ya Mchechu wafanye tu operation wanadamu wenzio sababu eti wana "akili za kuzaliwa"?
Upumbavu ulioje!
Mchechu ni 1% ya watu milioni 60,huwezi tegemea wanadamu milioni 60 wawe kama Mchechu,ndio maana ni lazima wasomeshwe walao wasaidie jamii kiasi watakachoweza
Mchechu this Mchechu that,he is a genius then what?That does not make the rest of 60mil Tanzanians are dumb!