Kusomea Bachelor Degree ingine

Dah hongera broh ila itakuwa ulitumia mda mwingi kusoma but kitu kizur ulikuwa kwenye system imekuwa rahis kuliko hayo mambo ufanye hauko kwenye system wallah utaja kufa kwa presha trust me ukiwa kwenye system unaweza soma chochote ukipendacho
Usipotoshe ,kwenye system nimeingia baada ya kupata Clinical medicine ambayo ni hatua ya mwisho ya kufikia lengo.Asilimia 70 ya kutafuta ndoto yangu nimetimiza nikiwa nje ya mfumo
 
Usipotoshe ,kwenye system nimeingia baada ya kupata Clinical medicine ambayo ni hatua ya mwisho ya kufikia lengo.Asilimia 70 ya kutafuta ndoto yangu nimetimiza nikiwa nje ya mfumo
Sasa mkuu mimi na hii CBG nianzie wapi

Diploma tena?? Au foundation course ?
 
Hongera sana mkuu, humu wapo kukatishana tamaa tu.

Na ndivyo tulivyo ngozi nyeusi tunakosa uwezo wa kutambua na kuthamini mawazo, haki, uhuru na ndoto za mtu mwingine.

Ndio maana viongozi wetu wakipata nafasi basi wanajikuta miungu watu, hawathamini mawazo au haki za watu.
 
Aseeeeeh miaka 10 kwa Degree 2 Tofauti. Hongera sanaaa, [emoji122][emoji122]
 
Hii ndio maana halisi ya Maisha Safari
✍️
 
Anhaa nina Bsc in Nutrition pia , je kusomea bachelor ingine tajwa hapo juu haiwezekani?
Bora ulisoma science maana Kiswahili ungepata F. Nikiangalia sentensi zako nakuta makosa mengi "ingine?" Umelirudia mara nyingi ila naweza kujua unakotokea wameharubu sana Kiswahili. Huo mkoa siku hizi wamehalalisha neno "embu", nyingi imekuwa "mingi" n.k
 

Some real life iron balls!!
 
Form six ulipiga ngapi PCM?
 
Bila Physics sahau fani yoyte ya utabibu km MD, Pharmacy, Nursing, Lab. Technologist, etc
 
Altitude = attitude
Mbona kama una negative altitude alikwambia haiwezekani ni nani?Siyo lazima atumie cheti chake cha BVM njia ziko nyingi za kufikia ndoto .Mimi na Engineering na PCM yangu nimeweza yeye Bachelor of vertenary medicine (BVM) na CBG yake atashindwa kipi
 
Kama bado hujafika miaka 30 unaweza anza degree nyingine kabisa na mambo yakawa poa. Life starts at 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…